huyo anasumbuliwa na wivu,ni kawaida kwa mtu ambaye hana kitu kichwani kuongea utumbo kama huo,kwani aliomba kuchangia akanyimwa!?,na hii itapunguza wabunge wasio na kitu kichwani kusimama na kuongelea mswada,watu kama akina maji marefu, lameck airo inabidi watu kama hao bila kumsahau lucy mayenga inabidi wawe wanaingia na pipi katika vikao vya bunge kuepuka mdomo kunuka.
Mheshimiwa huyu, akihojiwa na TBC kuh bunge hili, amesema, pamoja na mengineyo, kuwa:
Kuna wabunge wenye taaluma ya sheria wametumia bunge kuonesha ujuaji wao kuliko 'waliobobea' kwenye sheria.
Wabunge hao 'wajuaji' wanataka kutafuta umaarufu kupitia bunge
My take:
Sikuwahi kumwona mh huyu akitoa mchango wowote bungeni, hivyo nadhani yuko hodari kuupepeta nje ya bunge kuliko ndani ya bunge.
Anasumbuliwa na wivu kwa wale wenye 'kitu' kichwani, wanapotumia kujua kwao kwa manufaa ya nchi.
Siasa zinaendana na umaarufu. Ni bora kwa mwanasiasa yeyote kutafuta umaarufu kupitia majukwaa kama bungeni, badala ya njia nyinginezo kama hongo, upendeleo (wa viti maalum - kama mheshimiwa huyu alikopitia hadi kuibukia mjengoni).
Bado ana gamba usoni - linalomfanya asijue wananchi wanataka nini.
Yeye, kama wabunge wenzake, wako bungeni kuwakilisha u-ccm wao badala ya wananchi
Viti maalumu ni ubabaishaji tu! Kuna rafiki yangu mmoja kutoka nchi iliyojengeka sana kidemokrasia aliniambia, huko kwao mfumo wa kijuha namna hii hauwezi kutumika.
<br />
<br />
Hata maelezo ya kidaktari hayakupaswa kuwepo kwenye hiyo hotuba aache wataalam wafanye sehemu zao.
Mheshimiwa huyu, akihojiwa na TBC kuh bunge hili, amesema, pamoja na mengineyo, kuwa:
Kuna wabunge wenye taaluma ya sheria wametumia bunge kuonesha ujuaji wao kuliko 'waliobobea' kwenye sheria.
Wabunge hao 'wajuaji' wanataka kutafuta umaarufu kupitia bunge
My take:
Sikuwahi kumwona mh huyu akitoa mchango wowote bungeni, hivyo nadhani yuko hodari kuupepeta nje ya bunge kuliko ndani ya bunge.
Anasumbuliwa na wivu kwa wale wenye 'kitu' kichwani, wanapotumia kujua kwao kwa manufaa ya nchi.
Siasa zinaendana na umaarufu. Ni bora kwa mwanasiasa yeyote kutafuta umaarufu kupitia majukwaa kama bungeni, badala ya njia nyinginezo kama hongo, upendeleo (wa viti maalum - kama mheshimiwa huyu alikopitia hadi kuibukia mjengoni).
Bado ana gamba usoni - linalomfanya asijue wananchi wanataka nini.
Yeye, kama wabunge wenzake, wako bungeni kuwakilisha u-ccm wao badala ya wananchi
inabidi wabunge wetu wapimwe akili!
Mkuu, eti tunahitaji nyuki sisi?
Ili madini na gas na mbuga za wanyama ziwe za nani? WTF' upuuzi mtupu!
kichwa kimoja cha tundu lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm ama kweli lissu ni noma