mchanga mchanga
Senior Member
- Jun 13, 2017
- 115
- 82
Tu subiri simu
Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dolaUmma uliuona wapi, katika kazi na sifa za kiongozi mojawapo ni figure head hii ni kazi ya asili ya kiongozi maana yake kiongozi au afisa husika ndiye anayewakilisha umma, sababu umma haupo katika kuendesha mali. Hapa jifiche aibu yako ya kutokujua ili ujifunze zaidi na uongozi. Hata ukisema nchi ni fictitious, raisi akisimama ndio nchi hiyo. Ukiambiwa msajili wa hazina kwa mamlaka aliyopewa yeye ndio anakuwa umma kwa nafasi na kwa mujibu wa sheria iliyomuweka. Registrar ni msajili sio sawa na commissioner wa TRA ebu dogo ingia chaka usome kidogo ili ukija tuone uko dip hata kidogo.
Wewe unaonaje?Umumuelewa Bashe?? Unajua kzi ya board of directors?? Unajua wanatakiwa wawe na sifa zipi??
Sasa afadhali nani awe na hayo madaraka? TR ambaye kwa nafasi yake lazma awe msomi aliyebobea kwenye business administration na corporate governance? Au waziri mteule wa kisiasa ambaye nafasi yake inamtaka tu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu?Sasa huyu anataka treasury registrar aajiri inamaana serikali kwenye Mashirika ya reli, umeme, maji, Mawasiliano, matibabu, viwanda muajiri awe mmoja hivi huyo muajiri anakua na utaalamu gani wa kujua sifa na vigezo vya watu wote hao wakati fani yake ni uchumi?
Gawa majukumu kwa kila mtu ili kuwe na ufanisi waziri sio mjumbe wa nyumba 10/10
Lakini unaweza kushangaa watu wanaona anaongea points kumbe pumba tu, nimejua yaani kama utakua unapinga tu masuala Bungeni ndio nyumbu wanakuona wa maana bila kujali kipi unapinga na uhalali wake
Soma Job Description ya Msajili wa Hazina. Sheria inatamka kwamba yeye ndio msimamizi wa mashirika yote ya umma. Sasa Bashe anauliza swali la msingi sana..Msajili atasimamiaje shirika la umma kama sheria inayounda nafasi yake inavyoelekeza...huku sheria inayoanzisha shirika hilo ikimpa waziri powers za usimamizi? Maana yake ni kwamva msajili anakosa meno ya kufanya kazi yake. Labda kama wewe unataka msajili asiwepo kabisaMali ni ya umma au ni ya mtumishi wa umma? Sheria gani inasema Mashirika ya umma ni mali ya registrar?
Hata Rais anavyoteua kila mtu ipo kisheria na kikatiba the same way to the minister anateua akishauriwa na wataalam wa wizarani akiwamo katibu mkuu wa wizara.
Registrar ni kama commissioner wa TRA kisa yeye anakusanya kodi ndio apangie matumizi kodi?
Naomba nikusaidie mkuu. Kuna recruitment agencies kibao anaweza akafanya consultancies na watu wakaajiriwa ilimradi kuwepo na job descriptions, job design and responsibilities kwa kila kazi kwenye shirika husika. Akisaidiana na management ambayo itakuwa chini yake huyu treasurery anaweza akaajiri kwa mashirika yooote bila utata wowote. Think bigSasa huyu anataka treasury registrar aajiri inamaana serikali kwenye Mashirika ya reli, umeme, maji, Mawasiliano, matibabu, viwanda muajiri awe mmoja hivi huyo muajiri anakua na utaalamu gani wa kujua sifa na vigezo vya watu wote hao wakati fani yake ni uchumi?
Gawa majukumu kwa kila mtu ili kuwe na ufanisi waziri sio mjumbe wa nyumba 10/10
Lakini unaweza kushangaa watu wanaona anaongea points kumbe pumba tu, nimejua yaani kama utakua unapinga tu masuala Bungeni ndio nyumbu wanakuona wa maana bila kujali kipi unapinga na uhalali wake
Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dola
Wewe nyumbu utamfundisha nani akili kijiko hiyo nenda kamfundishe kengeza kuongoza chama chakoDola wenzio mpaka paund sterling, humu JF wengine hatuko katika siasa ni wanzengo tu na tuko kufunza vilaza kama nyie mkae katika mstari. Ukweli unabaki kuwa ukweli haijalishi kasema nani na JF watu wana dare to talk, huko kwenu mnadumisha fikra za Mkiti !!! sasa huyu wasasa anapanga kuchukua mpaka mahali zenu ili apate mapato kwenda kusaka nje hawezi anataka kuletewa na wanaume wenzie.
Keshadhulumu wenye magari na madereva, EFD mpaka chinga na bodaboda, ana watia roba wafugaji kudhulumu mifugo yao na jinsi ya matumizi yake bado hazitoshi kitafuata sasa mahali zeenu tu mkiwa wa kiume au wa kike yeye anataka makuta kweli kweli.
Kwahiyo na wewe kwa akili yako serikali ikaajiri recruitment agencies kwa ajili ya kuajiri Wafanyakazi wake wakati wataalam chungu mzima wamejaa wizarani?Naomba nikusaidie mkuu. Kuna recruitment agencies kibao anaweza akafanya consultancies na watu wakaajiriwa ilimradi kuwepo na job descriptions, job design and responsibilities kwa kila kazi kwenye shirika husika. Akisaidiana na management ambayo itakuwa chini yake huyu treasurery anaweza akaajiri kwa mashirika yooote bila utata wowote. Think big
Wewe nyumbu utamfundisha nani akili kijiko hiyo nenda kamfundishe kengeza kuongoza chama chako
Anakosaje meno wakati amepewa haki zote za monitoring, auditing, consulting, managing, directing and all it takes to get better kisa tu sio sehemu ya uteuzi kazi yake imekuwa ngumu?Soma Job Description ya Msajili wa Hazina. Sheria inatamka kwamba yeye ndio msimamizi wa mashirika yote ya umma. Sasa Bashe anauliza swali la msingi sana..Msajili atasimamiaje shirika la umma kama sheria inayounda nafasi yake inavyoelekeza...huku sheria inayoanzisha shirika hilo ikimpa waziri powers za usimamizi? Maana yake ni kwamva msajili anakosa meno ya kufanya kazi yake. Labda kama wewe unataka msajili asiwepo kabisa
Kajambe ukalale hukotatizo lenu hasira hata Dere wenu yuko kama wewe akiguswa tu anataka kurusha ngumi, bunduki mara taarabu kuliko wazara wenyewe. Hii game haitaki hasira
Huyo TR anatakiwa atolewe wizara ya fedha na mipango akahamishiwe kwenye wizara ya ajira na utumishi (kama ipo) sababu Mashirika ya serikali yapo kwa makumi Nafikiri hiyo task ya kuajiri na kutengua itakua inamtosha kama main general task kwenye hiyo idara Sidhani kama atapata muda wa kudeal na treasury stuff nafikiria waziri akabidhiwe hilo jukumu itapendeza zaidi.Naomba nikusaidie mkuu. Kuna recruitment agencies kibao anaweza akafanya consultancies na watu wakaajiriwa ilimradi kuwepo na job descriptions, job design and responsibilities kwa kila kazi kwenye shirika husika. Akisaidiana na management ambayo itakuwa chini yake huyu treasurery anaweza akaajiri kwa mashirika yooote bila utata wowote. Think big
Kama kuna miti hyo line of sight itatokea wap? Halaf huyo aliekuambia Airtel wanachukua internet kutoka ttcl ndo kakudanganya kabisaTTCL wapo ICU nilishangaa jamaa walikuna kufunga internet ofisin wakasema ofisi imezungukwa na miti mingi ndo maana network haipatikani vizuri labda tukate miti. Pumbavu zao tulipoenda kuchukua internet ya Airtel ikafanya kazi vizuri sana na wakasema wao wanapata internet kutoka TTCL
Duu! Bashe raiaHatujafikia hatua ya ku-outsource.
Kwa kipi cha mno mpaka nikafanye kazi ttcl? Kwa mshahara upi ambao mkuu ameshatoa bei elekezi usizidi 10mil....acha wabaki na makapi ya wataalamu na sekta binafsi ivhukuwe cream inayolipwa kadiri inavyoingiza faida.Ttcl imejaa wababu na wabibi wa kikoloni yaani ilitakiwa wapigwe chini wote tupia vijana wa Tehama wenye damu changa tupia mkurugenzi anayejua mambo ya kidigital muone moto mbona hawa voda na tigo watasanda.
Safi sana Mh. Bashe...@ttcl & TCRA kumejaa utumbo tu, mpaka wawe serious, otherwise wataendelea na ubabaishaji wao na kufanya kazi kwa mazoea..
Kuhusu Bodi sijuwi kama watakubali, maana pale ndipo wanapeana ulaji na maposho yasiyo na mbele wa nyuma, kama hatutabadilika tutabikia vile vile miaka nenda miaka rudi...
Dogo uguza kichwa matumizi ya akili ni zaidi ya kushika dola....wewe shika dola kama trump ila vichwa vya senate na congress vikuongozee dola yako....Hizi akili za ufipa ndio maana hamshiki dola
Hawa wawili wa mwisho ndiyo think tank wa chamaCCM tumekamilika kila idara, hapo Bashe anakesha akijisomea nondo, akifika bungeni anashusha nondo tupu. Huku kuna Milinga na Kusinde wakiinuka wanatukanatukana mitusi wanakaa. Mtakatizia wapi