Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Kuna Waziri mwingine atapigiwa simu kesho...


Mipasho ni msuku au hahaaHuyu jamaa akili yake iko mbali sana kulinganisha na yule wa "mipasho"
Chama chenu kizuri eeeWatu kama hawa kwenye chama chetu ni hazina kubwa anahitajika kutunzwa huyu. .
Presidency not PresidentBashe for president 2025
Huyo huyo Msuku wa Cha Mkuu.Mipasho ni msuku au hahaa
unayo akili timamu kwel kamanda?Bashe for president 2025
Chama chenu kibaya eeeChama chenu kizuri eee
Kwa huu mwendo huyu jamaa na yule wa mtama 2020 ni 50-50
Umeandika ukibashe ni zaidi ya ma profesa na ma Dkt wote waliopo CCM
Umeandika ukiwa unaharisha chooni? Nyambaf zako!!bashe ni zaidi ya ma profesa na ma Dkt wote waliopo CCM
Mhh!Bashe for president 2025
Hatujafikia hatua ya ku-outsource.Natamani bashe awe next prezdaa.after Magufuli