Kitu kimoja Tz kinafanya kila tunacho hisi ni sahihi na kipi sio sahihi hakina maaana ni
'tume ya uchaguzi'
laiti kama tungekuwa na uhakika uchaguzi utakuwa 'free and fair'
basi tungekuwa na hamu ya kusubiri kuona wananchi wataamua nini
kwa sasa hatuko sure hata kitakachotangazwa na tume ndio hasa maamuzi ya wananchi
I agree, hasa wa uraisi, CCM hawako tayari kila kitu kuwa free and fair 100%, kwenye ubunge,somehow hupima kwanza vuguvugu kabla ya kufanya foul.
Shida kubwa ni kuwa Lowassa atawafanya hata wabunge wa upinzani kuwa on the defensive, kama vile alivyowaweka wabunge wa CCM on the defensive. that is a disadvantage in politics.