Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

nilichojifunza kua kweli chadema wamekula matapishi yao tofauti na wanavyojikosha kua Lowassa ni msafi.

ila muhimu kula matapishi ikiwa itasaidia kuepuka janga kubwa kwa hio kina lissu na mbowe wasitudanganye, waseme ukweli kama huu kua lowassa fisadi, lkn tumemchukua ili ccm ipasuke na ishindwe

Katika Logic Theory, kuna kitu kinaitwa 'syllogism'. Hii ni njia ya kupata hitimisho (conclusion) la kimantiki kutokana na kauli mbili zenye uhusiano. Kwa kutumia hii dhana kwenye hili suala inakuwa hivi: (1) Lowassa amethibitisha kuwa Richmond haikuwa dili yake na alitaka kuvunja mkataba bosi wake akazuia; (2) Richmond ilikuwa dili ya 'mfalme'; (3) LOWASSA SI FISADI!
 
Nilimpinga sana Lowasa,nilipofikiria hili nimeona ni jambo la kheri kumuunga mkono Lowasa.Mkuu Bukanga nipe link ya Wanabidii

Siyo wewe tu uliekuwa unampinga Lowasa, hata mimi pia nilikuwa mmojawao. Tukisema tusubiri tuingie ikulu hivihivi kwa kusema tuwatumie watu "wanaoitwa wasafi" tunaweza ngoja mda mrefu sana. Kanuni ya kwanza kabisa ni kuitoa CCM madarakani kwa namna yoyote ile (iwe ni kwa sanduku la kura au kijeshi). Kanuni ya pili ni kuanza kuisafisha na kuitengeneza hii nchi ambayo imekwisha haribiwa na CCM. Baada ya kuiondosha CCM madarakani ndo nitaangalia nijiunge na chama gani. Kwa sasa mimi ni mshabiki wa CHADEMA tokea nilipoanza kupiga kura mara ya kwanza mwaka 2000.
 
ccm haijameguka akili zako ndio zimemeguka kwa kuona lowasa kajivua gamba kwa ufisadi sasa ccm imebaki cream safi kama imezaliwa leo safi kabisa ccm
Kama haijameguka ilikuwaje mkayaalika Yale mazee yenu kutoka Zanzibar pale TBCCM eti kuongelea kuondoka kwa Lowasa CCM?
 
Angalau of all the people Lwaitama ameweza kuongea points na kueleweka vizuri sana

Ninapingana naye kwa mantiki nzima ya hoja yake.

Yeye anasema kuwa Lowassa ataisaidi kuiondoa CCM madarakani, Lakini anashindwa kutoa mifano halisi ya hapa hapa Tanzania, pindi njaa au shauku ya kupenda madaraka ilivyorusisha nyuma vyama vilivyokuwa na nguvu kupita CDM. Walipo CDM leo ndipo walipokuwa NCCR 15 years ago. NCCR waliendekeza umaarufu ,CDM waliendekeza principles. NCCR walijaza watu kwenye mikutano yao, CDM walistick to their guns na kuhubiri sera zao.., taratibu watanzania wakawalelewa, and tables turned. Kama CDM wangestick to their guns and kept on with their sera, nina uhakika it was a matter of time before CCM ingetolewa madarakani na upinzani, kwani watanzania wangejenga imani iliyopitiliza na integrity ya viongozi wao wakuu wa upinzani.

Sasa CDM na UKAWA wamenunua rasmi, sura ya upenda pesa,undumilakuwili and above all sura ya utapeli tapeli, hivi vitu do not go well na watanzania..., mtanzania wa kawaida yuko radhi aipe kura CCM kuliko kumpa kura mpinzani wa CCM asiyeeleweka eleweka.

Ninaamini kama aliyeenda CDM angekuwa Warioba,Dr.Salim, Mwandosya au kundi la wana CCM wasio na kashfa ya ufisadi, CCM ingepata tabu sana october.

kwa sasa uchaguzi huu CCM utashinda kirahisi, kwani watakuwa na msg coherent na inayoeleweka,sisi ni chama tawala, kina lowassa waliingiza timu yao ya mafisadi ili kutuyumbisha, mwenyekiti na makamu wake wamewashughulikia na ushahidi mnao, tupeni kura tena ili tulete maendeleo.., and whatever bla bla za CCM na ahadi zao zisizoisha wala kutekelezeka. watanzania wata-buy this.., lakini it will take ages kumtazama Lowassa nje ya nuru ya ufisadi. huu ndio ukweli halisi, na CDM wataujua october.
 
nilichojifunza kua kweli chadema wamekula matapishi yao tofauti na wanavyojikosha kua Lowassa ni msafi.

ila muhimu kula matapishi ikiwa itasaidia kuepuka janga kubwa kwa hio kina lissu na mbowe wasitudanganye, waseme ukweli kama huu kua lowassa fisadi, lkn tumemchukua ili ccm ipasuke na ishindwe

Ebu soma bandiko hili hapa chini utaelewa kitu juu ya hicho unachowaza.

UKISTAAJABU YA MBOWE NA LOWASSA BASI HUJUI YA NYERERE DHID YA GADAFFI NA LOWASA
Na :,Florian Mgeni (mchambuz wa Siasa na mtaalam wa Fedha)
Huwa namkubali sana Julius Nyerere, inawezekana kuliko mwanasiasa yeyote Afrika ukimwondoa Kwame Nkrumah japo nasktka watanzania hatujifunz matendo yake mazuri. Ntafafanua kivip.....
Rafik yangu Elias Sese mhitim wa digrii ya Political Science kutoka UDOM, ktk mazungumzo yetu ya kisiasa hupenda sana kusema
"IN POLITICS, THERE IS NO PERMANENT FRIEND OR ENEMY, BUT THERE IS A PERMANENT #INTEREST "
Akimaanisha ktk siasa iwe za ndan au kimataifa, hakuna urafk au uadui wa kuduma Bali kuna LENGO MOJA KUU LA kudumu.
UHALISIA:
Je unazan Mwl Nyerere angewezaje kukomaa kuendeleza beef lake na Ghadafi akat anajua wanashea mawazo sawa ya kuiungansha Afrika na kuipigania kimaendeleo!!
Gaddafi alishirikiana na Id Amin kuipga Tanzania na walifankiwa kupoteza #damu za watz kadhaa na kila mtz aliumia sana si tu kupoteza dam Bali Mali zao kusaidia wanajesh. Nyerere alifankiwa kuwashinda na kuwatukana vibaya mno, lakin mwisho wa Siku japo Nyerere anatambua damu za watz zilipotea, alirudisha moyo wake kwa Gadafi na Gadafi hakuwa na hiyana na kukuinyesha urafk wao ulivokuwa mkubwa, Gadaffi alijenga hadI msikiti kijijin kwa Nyerere, Butiama. Na had miaka ya karibun Libya imekuwa ikiisaidia Tz kifeza
Sasa je Mwalim angejifanya kuogopa maneno ya watz wenye akili mgando ambao wangemponda utakuwaje na urafk na mtu ulemtukana? Akaua watz.... Ndo ingekuwa nn sasa faida yake zaid ya kuendekeza beef za kishamba zilizopta, akat wote wana the same interest kuiungansha Afrika!
Ni Nyerere aliempa onyo Mkapa asije akamteua Lowasa ktk baraza lake LA mawaziri akiwa rais 1995(baada ya kupewa faili lililopkwa kifitna na usalama wa taifa TISS ili kumharibia Lowasa mbio za urais 1995)
Lakin ni Nyerere #uyouyo aliesafiri had Dar 1996 kuja kumshawish Mkapa amrudishe Lowasa ktk baraza LA mawaziri kwa kuwa ni mtendaj makin sana( baada ya mkurugenz mstaafu wa TISS, Mzee Imram Kombe kumfwata Nyerere Butiama na kumpa ukweli faili lile LA Lowasa lilipkwa na wapnzan wake kisiasa kwa kuusisha baaz ya watendaj wa TISS)
NB: Imram Kombe aliuawa 1998 kwa makusud na polis, waliokuja kufungwa maisha ila Rais Kikwete kawatoa kimyakimya juzjuz baada ya sakata LA Richmond kupta.
Kwa mtanzania makin atakuwa amejifunza Nyerere alipogundua kuna faida itapatkana nkmaliza ugomv na adui na kumshrksha au kushirikiana nae ktk malengo sawa aliyonayo adui na mm kuna faida kubwa na ni bora kumaliza uadui.
Adui mkuu wa Mtz sio Prof Muhongo, Lowasa, Jairo, Chenge, au Magufuli Bali ni utawala mbovu wa CCM, ambao utafit wa siri wa UKAWA uligundua hauwez kuondoka bila kuipasua CCM ata ingemsmamisha nan!!
Na hakuna mwanasiasa mwenye nguvu zaid ya Lowasa nchin kulingana na utafit huo ivo kumtoa CCM ni bonge LA move lililochezwa na mwanasiasa bora alepewa tuzo kwa kukuza upinzan ndugu Mbowe.
Lowassa anakubalika kwa robo tatu ya wabunge wa CCM, wenyevit wa mikoa na wilaya wa CCM, na wajumbe weng wa halmashauri kuu ya CCM ambao itakuwa ni rahis kuiujum CCM wakat wa uchaguz kwajili ya Lowasa, hii ni faida kubwa kwa wagombea wa UKAWA kwa msiojua vizuri siasa
ALAFU NI KITU CHA KAWAIDA SANA MAHASIM KISIASA KUSHIRIKIANA ila sjajua watz wenzangu huwa hatulion hili ndo tunaliona kwa Mara ya kwanza kwa Mbowe na Lowasa ndomana tunashangaa???
Kada maarufu wa zaman wa CUF, Tambwe Hizza alekuwa mwiba mkali kwa CCM na aliwai kusema "akija kuamia CCM lazma atasex na mama yake", alikuja kuamia CCM, mbna tulichukulia simple tu na akapewa Kaz pale Makao Makuu.
Dr Aman Kabourou katibu Mkuu wa zaman CHADEMA alirud CCM, alikuwa noma uyu jamaa kama umeanza kufwatlia siasa baada ya lowasa kuamia chadema uliza wakongwe jins alivokuwa akipeana madongo na CCM na aliwai kuchana hadharan na kuisigina katba ya CCM...
Mmesahau CCM kumweka jela miaka kadhaa Maalim Seif S Hamad, CCM kuua wafuas wa CuF Jan 2001, kutukanana, kudhalilishana na mamia kukimbia nchi 2001, lakin Leo yupo ktk serikal ya umoja na CCM coz lengo kuu ni kuacha siasa za uhasama ili kuspeed up maendeleo ya wazanzibari ila Maalim angekuwa na akili za wanaompinga mbowe kumleta Lowasa CHADEMA asingekubali pendekezo LA serikali ya umoja kitaifa na lait wanaomponda Mbowe wangekuwa washaanza kufwatlia siasa tangu angalau 2009/10 wangemponda sana Maalim kushirikiana na CCM, ila tunaona wanaopnga weng ni wahafidhina wachache ndan ya CCM
VIPi Nape kumdiss Kikwete 2005 akiwa kampen meneja wa Malecela kabla ya kuamia kwa TeamMwandosya, alisema "kama Kikwete akishinda urais ntakmbia nchi".
Lakin mwisho wa Siku Nape yupo Tz, kateuliwa na Kikwete ktk sekretariet yake ya chama na wanashirikiana ktk interest moja kuhakikisha CCM inazd kukua
Stak kuongelea sana bifu ya NCCR vs CUF 2001 kule Znz na kuwasababshia wapoteze majimbo kadhaa ila Leo wanashirikiana wakiwa na interest moja kuing'oa CCM
Je tumesahau bifu ya Mzee Wasira vs CCM&Warioba kupelekana had mahakaman, kutukanana ila Leo wako pamoja kaamia CCM na ni mwanachama muim ndan ya CCM??
The same applied kwa mbunge wa zaman wa Ubungo, Masumnuko Lamwai aliisumbua mno CCM, walitukanana sana zaid ya sana. Ni Mkapa aliempora vyet vyote Lamwai na kuacha Kaz ya ualim ktk shule ya sheria ya chuo cha dar na kusota sana na njaa mtaan akitia huruma kwa kila mtu!! Lakin ni Mkapa uyouyo aliekuja na Dr Lamwai, pale Mwembeyanga akijinad CCM imenasa jembe na vyet akamrudishia!
Chakumalizia ifike mahali baaz ya watz wachache muache ushamba mtu mzma unatumaje kivideo unahoj "oohh Slaa mbna alisema Lowasa fisad". Kwaiyo furaha yenu ni kumwona mtz anazd kukaa ktk mfumo wa ufisad au ajitoe?
Lowasa kuja Upnzan tutapata kujua mengi sana mfano Mwakyembe alituficha Bungen alisema hatasubutu kumtaja kigogo anaeusika na Richmond coz anaogopa kuiaibisha sana serikali lakin kuptia Lowasa kuja upinzan tumemjua uyo mtu ni nan. Je angebak CCM si tungezid kuukum watu vibaya kwa ripot isiyokamilika ya Dr Mwakyembe kumbe mhusika kafichwa!!
Wenye ufaham mzuri wa siasa hawawez kupnga Lowasa kwenda upnzan coz wameshuudia sana siasa znaendaje kuanzia Mandela na makaburu had nchin petu, lakin wagen wa siasa hii kitu inawasumbua sana kiakili coz hawajawai kushuudia tangu waanze kufwatlia siasa mahasim wa siasa kufanya kaz pamoja kwa LENGO MOJA wanaishia tu kupost "siasa mchezo mchafu" coz vitu ving vinavotokea ni vigen kwao.
"Adui wa Adui Yako Mkuu ni Rafiki yako" TAFAKARI
 
Well said Dr Lwaitama... Tuwangoe kwanza hawa ccm hata kama tutamtumia shetani sawa tu..
 
Ninapingana naye kwa mantiki nzima ya hoja yake.

Yeye anasema kuwa Lowassa ataisaidi kuiondoa CCM madarakani, Lakini anashindwa kutoa mifano halisi ya hapa hapa Tanzania, pindi njaa au shauku ya kupenda madaraka ilivyorusisha nyuma vyama vilivyokuwa na nguvu kupita CDM. Walipo CDM leo ndipo walipokuwa NCCR 15 years ago. NCCR waliendekeza umaarufu ,CDM waliendekeza principles. NCCR walijaza watu kwenye mikutano yao, CDM walistick to their guns na kuhubiri sera zao.., taratibu watanzania wakawalelewa, and tables turned. Kama CDM wangestick to their guns and kept on with their sera, nina uhakika it was a matter of time before CCM ingetolewa madarakani na upinzani, kwani watanzania wangejenga imani iliyopitiliza na integrity ya viongozi wao wakuu wa upinzani.

Sasa CDM na UKAWA wamenunua rasmi, sura ya upenda pesa,undumilakuwili and above all sura ya utapeli tapeli, hivi vitu do not go well na watanzania..., mtanzania wa kawaida yuko radhi aipe kura CCM kuliko kumpa kura mpinzani wa CCM asiyeeleweka eleweka.

Ninaamini kama aliyeenda CDM angekuwa Warioba,Dr.Salim, Mwandosya au kundi la wana CCM wasio na kashfa ya ufisadi, CCM ingepata tabu sana october.

kwa sasa uchaguzi huu CCM utashinda kirahisi, kwani watakuwa na msg coherent na inayoeleweka,sisi ni chama tawala, kina lowassa waliingiza timu yao ya mafisadi ili kutuyumbisha, mwenyekiti na makamu wake wamewashughulikia na ushahidi mnao, tupeni kura tena ili tulete maendeleo.., and whatever bla bla za CCM na ahadi zao zisizoisha wala kutekelezeka. watanzania wata-buy this.., lakini it will take ages kumtazama Lowassa nje ya nuru ya ufisadi. huu ndio ukweli halisi, na CDM wataujua october.

Kitu kimoja Tz kinafanya kila tunacho hisi ni sahihi na kipi sio sahihi hakina maaana ni
'tume ya uchaguzi'

laiti kama tungekuwa na uhakika uchaguzi utakuwa 'free and fair'
basi tungekuwa na hamu ya kusubiri kuona wananchi wataamua nini
kwa sasa hatuko sure hata kitakachotangazwa na tume ndio hasa maamuzi ya wananchi
 
Kama JK yupo ndiyo nini si mwambieni Dr.Slaa aende mahakamani kama alivyosema fisadi Lowassa.

Kaa kimya!! Huna hoja humu ndani unaweweseka tu. Mnasema Lowassa ana uroho wa madaraka ni ya kweli hayo?

Nikukumbushe kidogo, wakati wa sakata la Richmond mali ya mwenyekiti wa kijiji chetu, Lowassa aliachia ngazi kulinda heshima ya mwenyekiti wa kijiji na ukoo wake. Sasa mkatumia huwa mwanya kumtoa kafala ili muendelee kutawala imekula kwenu.

Kama Lowassa angekuwa mroho wa madaraka angeachia uwaziri mkuu? Pinda mara ngapi kakumbwa na kashifa mbona aligoma kuachia ngazi? Mstumie Lowassa kama daraja la vikwazo kutawala eti mmevua gamba! Gamba ni ccm over.

Mwisho, mnasema Lowassa ni mroho wa madaraka, lini Lowassa amekuwa Rais wa nchi hii akayang'ang'ania hayo madaraka? Waacheni wapiga kura waamue kama ni ndiye na awe Rais wa JMT.
 
Ninapingana naye kwa mantiki nzima ya hoja yake.

Yeye anasema kuwa Lowassa ataisaidi kuiondoa CCM madarakani, Lakini anashindwa kutoa mifano halisi ya hapa hapa Tanzania, pindi njaa au shauku ya kupenda madaraka ilivyorusisha nyuma vyama vilivyokuwa na nguvu kupita CDM. Walipo CDM leo ndipo walipokuwa NCCR 15 years ago. NCCR waliendekeza umaarufu ,CDM waliendekeza principles. NCCR walijaza watu kwenye mikutano yao, CDM walistick to their guns na kuhubiri sera zao.., taratibu watanzania wakawalelewa, and tables turned. Kama CDM wangestick to their guns and kept on with their sera, nina uhakika it was a matter of time before CCM ingetolewa madarakani na upinzani, kwani watanzania wangejenga imani iliyopitiliza na integrity ya viongozi wao wakuu wa upinzani.

Sasa CDM na UKAWA wamenunua rasmi, sura ya upenda pesa,undumilakuwili and above all sura ya utapeli tapeli, hivi vitu do not go well na watanzania..., mtanzania wa kawaida yuko radhi aipe kura CCM kuliko kumpa kura mpinzani wa CCM asiyeeleweka eleweka.

Ninaamini kama aliyeenda CDM angekuwa Warioba,Dr.Salim, Mwandosya au kundi la wana CCM wasio na kashfa ya ufisadi, CCM ingepata tabu sana october.

kwa sasa uchaguzi huu CCM utashinda kirahisi, kwani watakuwa na msg coherent na inayoeleweka,sisi ni chama tawala, kina lowassa waliingiza timu yao ya mafisadi ili kutuyumbisha, mwenyekiti na makamu wake wamewashughulikia na ushahidi mnao, tupeni kura tena ili tulete maendeleo.., and whatever bla bla za CCM na ahadi zao zisizoisha wala kutekelezeka. watanzania wata-buy this.., lakini it will take ages kumtazama Lowassa nje ya nuru ya ufisadi. huu ndio ukweli halisi, na CDM wataujua october.

Warioba mliye mtukana kwenye Bunge la katiba? Mtahukumiwa haki ya mama mtanyongwa? Warioba msimamo wake ni serikali 3. Je ukawa unaujua msimamo wao? Utajua mwenyewe.

Lowassa ni mateka, tutamtumia kusambaratisha mafisadi yote mlikojificha nakuhakikishia lazima mafisadi yote ndani ya ccm mjisalimishe ukawa mkahesabiwe na kutubu vinginevyo October mtakufa.
 
Dr.Slaa, Mbowe, Mnyika, Lema, wanatakiwa kikiri mbele ya watanzania kuwa wanakula matapshi yao lakini hawana budi kuungana na Lowassa.

kama kichwani mwako wamekubandikia kokwa la nazi ndio unaweza kuandika ugolo kama huu. ccm ni chama kilichokuwa kinaongoza serikali, kama lowasa ni fisadi kwa nini tangia mwaka 2007 hamkumchukulia hatua kama aliiba?
mbona 2010 mlimpitisha lowasa fisadi kugombea ubunge monduli?
kwa nini kikwete alienda monduli na kunyanyua mkono eti ni jembe?

kwa nini leo lowasa awe fisadi leo baada ya kuhama ccm sio 2010 mlipompitisha kugombea ubunge kupitia ccm?
 
Ninapingana naye kwa mantiki nzima ya hoja yake.

Yeye anasema kuwa Lowassa ataisaidi kuiondoa CCM madarakani, Lakini anashindwa kutoa mifano halisi ya hapa hapa Tanzania, pindi njaa au shauku ya kupenda madaraka ilivyorusisha nyuma vyama vilivyokuwa na nguvu kupita CDM. Walipo CDM leo ndipo walipokuwa NCCR 15 years ago. NCCR waliendekeza umaarufu ,CDM waliendekeza principles. NCCR walijaza watu kwenye mikutano yao, CDM walistick to their guns na kuhubiri sera zao.., taratibu watanzania wakawalelewa, and tables turned. Kama CDM wangestick to their guns and kept on with their sera, nina uhakika it was a matter of time before CCM ingetolewa madarakani na upinzani, kwani watanzania wangejenga imani iliyopitiliza na integrity ya viongozi wao wakuu wa upinzani.

Sasa CDM na UKAWA wamenunua rasmi, sura ya upenda pesa,undumilakuwili and above all sura ya utapeli tapeli, hivi vitu do not go well na watanzania..., mtanzania wa kawaida yuko radhi aipe kura CCM kuliko kumpa kura mpinzani wa CCM asiyeeleweka eleweka.

Ninaamini kama aliyeenda CDM angekuwa Warioba,Dr.Salim, Mwandosya au kundi la wana CCM wasio na kashfa ya ufisadi, CCM ingepata tabu sana october.

kwa sasa uchaguzi huu CCM utashinda kirahisi, kwani watakuwa na msg coherent na inayoeleweka,sisi ni chama tawala, kina lowassa waliingiza timu yao ya mafisadi ili kutuyumbisha, mwenyekiti na makamu wake wamewashughulikia na ushahidi mnao, tupeni kura tena ili tulete maendeleo.., and whatever bla bla za CCM na ahadi zao zisizoisha wala kutekelezeka. watanzania wata-buy this.., lakini it will take ages kumtazama Lowassa nje ya nuru ya ufisadi. huu ndio ukweli halisi, na CDM wataujua october.

hata kama ccm mngekuwa na malaika kwenye chama na malaika akasema anaondoka ccm mngemuita shetani,kwa ni nani asiye wajua?
leo hii wakati warioba akiwa mwenyekiti wa tume ya katiba mpya akiwa amewasilisha rasimu ya pili mlianza kumzomea na kumpiga mkiwatumia vijana wa ccm kama akina makonda. warioba aliwakosea nini mpaka mkaanza kumpiga?
Dr. Salimu ahmed salimu mwaka 1995 wakati ameonyesha nia ya kuwania nafasi ya urais ccm mlisema yeye ni mwarabu na ndiye aliyeshiriki kumuua aliye kuwa rais wa zanzibar.

mwaka 2010 lowasa alipitishwa na ccm kugombea ubunge monduli, vipi 2010 lowasa alikuwa msafi na hakuwa fisadi?

Kamati ya mwakyembe ilipendekeza waliohusika na richmondi wapelekwe mahakani ,kwa nini hakupelekwa tangia 2007?
 
Ninapingana naye kwa mantiki nzima ya hoja yake.

Yeye anasema kuwa Lowassa ataisaidi kuiondoa CCM madarakani, Lakini anashindwa kutoa mifano halisi ya hapa hapa Tanzania, pindi njaa au shauku ya kupenda madaraka ilivyorusisha nyuma vyama vilivyokuwa na nguvu kupita CDM. Walipo CDM leo ndipo walipokuwa NCCR 15 years ago. NCCR waliendekeza umaarufu ,CDM waliendekeza principles. NCCR walijaza watu kwenye mikutano yao, CDM walistick to their guns na kuhubiri sera zao.., taratibu watanzania wakawalelewa, and tables turned. Kama CDM wangestick to their guns and kept on with their sera, nina uhakika it was a matter of time before CCM ingetolewa madarakani na upinzani, kwani watanzania wangejenga imani iliyopitiliza na integrity ya viongozi wao wakuu wa upinzani.

Sasa CDM na UKAWA wamenunua rasmi, sura ya upenda pesa,undumilakuwili and above all sura ya utapeli tapeli, hivi vitu do not go well na watanzania..., mtanzania wa kawaida yuko radhi aipe kura CCM kuliko kumpa kura mpinzani wa CCM asiyeeleweka eleweka.

Ninaamini kama aliyeenda CDM angekuwa Warioba,Dr.Salim, Mwandosya au kundi la wana CCM wasio na kashfa ya ufisadi, CCM ingepata tabu sana october.

kwa sasa uchaguzi huu CCM utashinda kirahisi, kwani watakuwa na msg coherent na inayoeleweka,sisi ni chama tawala, kina lowassa waliingiza timu yao ya mafisadi ili kutuyumbisha, mwenyekiti na makamu wake wamewashughulikia na ushahidi mnao, tupeni kura tena ili tulete maendeleo.., and whatever bla bla za CCM na ahadi zao zisizoisha wala kutekelezeka. watanzania wata-buy this.., lakini it will take ages kumtazama Lowassa nje ya nuru ya ufisadi. huu ndio ukweli halisi, na CDM wataujua october.

unajiribu kufananisha tz ya nyerere na hii ya kikwetevery wrong ideas.
 
usafi gani huo mkuu mlio nao ccm?

watoeni na weziwa EPA,KAGODA,MELEMETA,ESCROW na wezi wengine ambao hawajulikani mbele ya umma.

watoeni na hawa wanaokamatwa na takukuru wakitoa rushwa kwenye kura za maoni. naibu waziri,nape chambiri

hivi hata escrow aliyeiba alikuwa lowasa?

chenge,tiba,mnikulu,ngeleja, na wale wa stanibic

nani msafi ndani ya ccm?

Kuwatoa hao haiwezekani kwasababu wasafi watakaobaki ccm hawafiki 1% ya chama.
 
Hizo stori tu mtuyeyote anaweza leta kwa mpango wake ukae sawa
 
Muulizeni kama alishafuta namba ya simu ya Diallo. Kalivyopigwa mtama baada ya kufanya fujo kwenye ndege mbona kaliwapigia simu ccm haohao waje kukawekea dhamana?

Anasubiri wagombee wengine wapige kura wengine yeye aje kuukwaa uwaziri for free? mwambieni vyeo chadema vinauzwa hawagawi bure.
hata kama huku baliani na mtu siyo sahihi kutumia lugha ya kumtweza. Dr. LWAITAMA ni mtu mzima msomi ambaye kwa umri wake anastahili heshima ya Mzee. Kama kweli alipigwa mtama kama unavyodai basi waliofanya hivyo walimkosea haki na heshima na wanapaswa kulaaniwa.
 
Back
Top Bottom