ccm haijameguka akili zako ndio zimemeguka kwa kuona lowasa kajivua gamba kwa ufisadi sasa ccm imebaki cream safi kama imezaliwa leo safi kabisa ccm
Huyu
Mzee apewe kabisa uwaziri wa elimu
Duuuh! Dr.Lwaitama ningelikuwa na uwezo ningelikutunuku u Prof! hv hawa maccm bado yanaonekana tu?
hao wote ni team lowasa, JP akichukua dola lazima wapande kisutu, EL anaomba siasa za kistaarabu mwambieni hazipo, mafisadi yote lazima yaende segerea.
Hii ni tafakuri jadidi. Hakika huyu mwl. Lwaitama amesanifisha weledi na hali ya mapinduzi katika taifa jipya la Tanzania tuitakayo. Tunahitaji wasomi wajenge hoja namna hii na kupunguza mihemuko. #pamoja tutaibadili Tanzania.
Jamaa kaandika vizuri sana, hamana mahali upinzani pure umewahi kuchukua madaraka kwa amani pasipo kwanza kupasu chama tawala! Ccm wanajua sasa hivi ngoma ni nzito walitarajia wapinzani watendelea kuimba ufisadi tu wakisubiri mtakatifu aingie ikulu! Mungu hafanyi kazi yake kama wanadamu wanavyo fikiri ni lazima jambo la Mungu liwashangaze wanadamu na ndivyo hata hili limewashangaza maana kwa akili za kibinadamu likikuwa haliwezekani! Yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yote yanawezekana! Kama walidhani walipokuwa wanasema nibmpango wa Mungu walidhani Mungu atajibu kama wanadamu! God has proven that He is the only Him!
Muulizeni kama alishafuta namba ya simu ya Diallo. Kalivyopigwa mtama baada ya kufanya fujo kwenye ndege mbona kaliwapigia simu ccm haohao waje kukawekea dhamana?
Anasubiri wagombee wengine wapige kura wengine yeye aje kuukwaa uwaziri for free? mwambieni vyeo chadema vinauzwa hawagawi bure.
Jamaa kaandika vizuri sana, hamana mahali upinzani pure umewahi kuchukua madaraka kwa amani pasipo kwanza kupasu chama tawala! Ccm wanajua sasa hivi ngoma ni nzito walitarajia wapinzani watendelea kuimba ufisadi tu wakisubiri mtakatifu aingie ikulu! Mungu hafanyi kazi yake kama wanadamu wanavyo fikiri ni lazima jambo la Mungu liwashangaze wanadamu na ndivyo hata hili limewashangaza maana kwa akili za kibinadamu likikuwa haliwezekani! Yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yote yanawezekana! Kama walidhani walipokuwa wanasema nibmpango wa Mungu walidhani Mungu atajibu kama wanadamu! God has proven that He is the only Him!
anza na mwizi wa nyumba za serikali magufuli mchukua 10% kwa wakandarasi halafu mjumlishe baba mwanaasha(richmond+escrow) kisha funga kazi kwa mkapa(kiwira,nbc,mikataba ya madini).