SIjawahi kubet ila niliwahi andika articles kuhusu blog flani ya kubet ya nje, sasa katika kuandika hizo articles nikasoma kuhusu kubet haina tofauti na kutrade forex maana watu wanaobet kiprofessional wanafuatilia timu ndani na nje ya uwanja kuanzia majeruhi historia na kila kinachoendela kinakuwa na effect ya moja kwa moja na matokeo ya timu.Uganda wameshapiga marufuku
Mashambani, kuuna uhaba wa vijana huko mashambani, wote wamekimbilia mjini kuja kubeti na kuwaacha wazee wakihangaika peke yaoHivi ni mimi tu ndio sijawahi kulielewa hili au tupo wengi!!!?
Hivi unaposema Vijana wakatumike Kuzalisha Mali ili Uchumi wa nchi uimarike, huko wanakozalishia ni Wapi na kuna uhaba wa vijana Wangapi?!!!
Umewahi kuishi kijijini?Mashambani, kuuna uhaba wa vijana huko mashambani, wote wamekimbilia mjini kuja kubeti na kuwaacha wazee wakihangaika peke yao
Sasa kila mtu akikimbilia mjini si patakuwa na msongamano, kila mtu aboreshe mahali alipo sio kupakimbiaUmewahi kuishi kijijini?