Maoni: Urusi sasa yapigwa lakini hawatoshindwa

100% ya jeshi la Ukraine lipo kwenye uwanja wa mapambano wakisaidiwa na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu ili tu kujilinda na kushambulia wanajeshi wasiozidi 200k na bado hakuna mafanikia.. Urusi kama atashinda operesheni yake itakuwa ni aibu kubwa mno kwa EU, UK & US .

Ni kweli,kama member mmoja alivyo dadavua - sio siri kwamba Zelensky na jeshi lake limewekewa mtego na Putin, hivi sasa wamekwisha ingia 18 ya Putin - watakuja kushushiwa kitu kizito na hawatajua kitatoka wapi - watafyekelewa mbali wote na hakuna atakaye pona kwenda kutoa simulizi kwa familia zao.
 
Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi tangu wiki hii kuanza huko mashariki ya Ukraine yamekombolewa na wanajeshi wa Ukraine.

Raisi Erdogan wa Uturuki hapo juzi alizitahadharisha nchi za Ulaya na Marekani kuwa wasiichukulie Urusi kama taifa poa na kwamba vita hivyo havitoisha kwa kushindwa kwake.

Erdogan ambaye anazijua vizuri hali za jirani zake na yeye mwenyewe akiwa mvumilivu sana katikati ya hali ngumu na ni hodari wa kujibadili rangi zake, amekuwa akiiuzia Ukraine droni zake zinazoipiga Urusi na wakati huo huo akichukua nafaka za Ukraine kupitia mkono wa Urusi kwa bei poa.

View attachment 2353300
Kwani kushindwa kukoje??
Ingekuwa putin mwenyewe anapigana na Zele kareti hapo sawa hakuna jinsi angeshinda!
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Asante nilitaka kusema kitu kama hiki ila kongole kwako.
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Unatabiri ukiwa Mbagala Kibonde Maji.
 
Ni kweli,kama member mmoja aliyo dadavua - sio siri kwamba Zelensky na jeshi lake limewekewa mtego na Putin hivi sasa wamekwisha ingia 18 ya Putin - watakuja kushushiwa kitu kizito na hawatajua kitatoka wapi - watafyekelewa mbali wote hakuna atakaye pona kwenda kutoa simulizi kwa familia zao.
Kuna mabomu ya bulava hayo sidhani kama yametumika kwenye hii vita ! Na russia anajua anapimwa anachunguzwa na kupelelezwa kwà mlango wa nyuma hawezi ku exploit maximum power ili adui ajue ceiling board point yake ila fundisho atakalotoa ulaya na nato wataelewa urusi ninini na moscow ninini!
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Kyiv na Snake Island mmewahi rudi?
 
100% ya jeshi la Ukraine lipo kwenye uwanja wa mapambano wakisaidiwa na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu ili tu kujilinda na kushambulia wanajeshi wasiozidi 200k na bado hakuna mafanikia.. Urusi kama atashinda operesheni yake itakuwa ni aibu kubwa mno kwa EU, UK & US .
Punguza mahaba
 
Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi tangu wiki hii kuanza huko mashariki ya Ukraine yamekombolewa na wanajeshi wa Ukraine.

Raisi Erdogan wa Uturuki hapo juzi alizitahadharisha nchi za Ulaya na Marekani kuwa wasiichukulie Urusi kama taifa poa na kwamba vita hivyo havitoisha kwa kushindwa kwake.

Erdogan ambaye anazijua vizuri hali za jirani zake na yeye mwenyewe akiwa mvumilivu sana katikati ya hali ngumu na ni hodari wa kujibadili rangi zake, amekuwa akiiuzia Ukraine droni zake zinazoipiga Urusi na wakati huo huo akichukua nafaka za Ukraine kupitia mkono wa
Urusi ameachia hayo maeneo ili ajikite kwenye eneo la Donbas ku walinda maana huko kwingine alikuwa ana wazohofisha tu.
 
Kuna mabomu ya bulava hayo sidhani kama yametumika kwenye hii vita ! Na russia anajua anapimwa anachunguzwa na kupelelezwa kwà mlango wa nyuma hawezi ku exploit maximum power ili adui ajue ceiling board point yake ila fundisho atakalotoa ulaya na nato wataelewa urusi ninini na moscow ninini!

Thanks kwa ufafanuzi wako uliyo kwenda shule, once again shukrani sana.Barikiwa sana mkuu - watu kama nyinyi ni bidhaa adimu kwenye jukwaa hili/Jamiiforums.
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Kazi imeanza leo.Muda mfupi Maneno yamebadilika.
 
Haya tupe update, mmefika wapi?

1664539840498.png

Na maboga mnabeba kwenye mabegi ya kufanyia nini..
1664539918290.png
 
Lazima Russia iwaondoe wavamizi katika Kherson Luhansk na Kwingineko Russia iachwe ijiamulie na maeneo yake yasiguswe UN mnanisikia vema
 
Back
Top Bottom