Maoni: Urusi sasa yapigwa lakini hawatoshindwa

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi tangu wiki hii kuanza huko mashariki ya Ukraine yamekombolewa na wanajeshi wa Ukraine.

Raisi Erdogan wa Uturuki hapo juzi alizitahadharisha nchi za Ulaya na Marekani kuwa wasiichukulie Urusi kama taifa poa na kwamba vita hivyo havitoisha kwa kushindwa kwake.

Erdogan ambaye anazijua vizuri hali za jirani zake na yeye mwenyewe akiwa mvumilivu sana katikati ya hali ngumu na ni hodari wa kujibadili rangi zake, amekuwa akiiuzia Ukraine droni zake zinazoipiga Urusi na wakati huo huo akichukua nafaka za Ukraine kupitia mkono wa Urusi kwa bei poa.

1662877752146.png
 
Ahsante mkuu,Bora umekiri kuwa Russia wanapokea kichapo. Kuna wenzio bado wamekaza mafuvu, eti Ukraine hawajakomboa hata sentimeter Moja ya ardhi Yao

Eti hizo ni propaganda za vyombo vya habari vya west

Mahaba yakizidi yanamgeuka na kuwa ugonjwa wa akili
 
EE umeiona hiyo nukta yangu ya mwisho.?.Mimi niko pamoja na wengine wanaoona Ukraine wanajiongeza sana.Ushindi wao ni mdogo kuliko Propanganda wanazosaidiwa na washirika wao.

Habari zilikuwa kama hivyo kule jimbo la Kherson na daraja Antonivsky.Mwandishi mmoja huru wa Ulaya akachambua kuwa mdomo umekuwa mwingi kuliko ukweli.Angalia sasa. Ukraine kule wameishiwa na maneno.
 
Russia taifa dhaifu sana....Ukraine anamsumbua kwa silaha za kupewa na USA vip siku akiingia USA mwenyewe Russia si atajiharishia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
 
EE umeiona hiyo nukta yangu ya mwisho.?.Mimi niko pamoja na wengine wanaoona Ukraine wanajiongeza sana.Ushindi wao ni mdogo kuliko Propanganda wanazosaidiwa na washirika wao.Habari zilikuwa kama hivyo kule jimbo la Kherson na daraja Antonivsky.Mwandishi mmoja huru wa Ulaya akachambua kuwa mdomo umekuwa mwingi kuliko ukweli.Angalia sasa. Ukraine kule wameishiwa na maneno.
bado uandish wako una mahaba , muhandish gan na asili yake ni ipi ? ulaya kila mtu yupo huru kutoa maoni ila Urusi watu wapo rumande mpk leo kisa kupinga uvamiz
 
Alafu silaha kapewa kidogo sana ,mpaka juz Zele sky anasema wangekua na silaha za kutosha mchezo wangeshaumaliza
100% ya jeshi la Ukraine lipo kwenye uwanja wa mapambano wakisaidiwa na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu ili tu kujilinda na kushambulia wanajeshi wasiozidi 200k na bado hakuna mafanikia.. Urusi kama atashinda operesheni yake itakuwa ni aibu kubwa mno kwa EU, UK & US .
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai. Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Iko siku kwa majisifu ya zele kuhusu kuvuka mto maeneo ya huko huko Oblast nilidhani ndio Urusi basi.Na karibuni Kherson nikaona Ukraine wameshashinda.

Niliposoma mwandishi aliye mstari wa mbele Kherson nikajua maneno ya Zelensky ni mengi sana huku akiwamaliza raia wake kwa faida ya mabeberu.

Nchi ambayo imeshanyang'anywa maeneo yote ya uchumi na bandari haitokuwa raisi kihivyo kukomboa.Watafanya matendo ya kigaidi zaidi lakini hawatowarudisha nyuma Urusi kwa miaka hii.
 
Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa na Urusi tangu wiki hii kuanza huko mashariki ya Ukraine yamekombolewa na wanajeshi wa Ukraine.

Raisi Erdogan wa Uturuki hapo juzi alizitahadharisha nchi za Ulaya na Marekani kuwa wasiichukulie Urusi kama taifa poa na kwamba vita hivyo havitoisha kwa kushindwa kwake.

Erdogan ambaye anazijua vizuri hali za jirani zake na yeye mwenyewe akiwa mvumilivu sana katikati ya hali ngumu na ni hodari wa kujibadili rangi zake, amekuwa akiiuzia Ukraine droni zake zinazoipiga Urusi na wakati huo huo akichukua nafaka za Ukraine kupitia mkono wa Urusi kwa bei poa.

View attachment 2353300
Waturuki wana vinasaba vya kiarabu unafiki lazima uwepo.
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai. Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Weee unateseka kutokea wap[emoji1787]
 
100% ya jeshi la Ukraine lipo kwenye uwanja wa mapambano wakisaidiwa na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu ili tu kujilinda na kushambulia wanajeshi wasiozidi 200k na bado hakuna mafanikia.. Urusi kama atashinda operesheni yake itakuwa ni aibu kubwa mno kwa EU, UK & US .
Inauma ila ndo hivyo...RUSSIA KAPIGWA NA KAKIMBIA...MAANA BORA ANGEPIGWA ANGEBAKI ILA RUSSIA KAAMUA KUKIMBIA...[emoji1787][emoji1787]
 
Muda sio mrefu kutoka sasa mtakaa kimya, hao asikari walio front line wanaofikiri wanaigomboa miji, hakuna hata mmoja atakayeludi nyumbani akiwa hai.

Russia kwa sasa wanawa zoom tu ili waingie ktk 18 zao wawafagie wote na kutoa fundisho, hamtakuja kusikia tena counter-offensive tena
Wahi kwa daktari haraka ndugu; uko na sonona moja mbaya sana. See a psychologist soonest possible.
 
Marekani haikutaka kumuondoa dikteta Assad madarakani, waliotaka kumuondoa ni raia wake wenyewe waliochoshwa na utawala wa zaidi ya miaka 40 ya familia ya Assad iliyowafukarisha Wasyria wakabaki wategemezi wa remittances kutoka nje.
Mfano mzuri ni kule SYRIA. Baada ya marekani kushindwa kumwondoa ASSAD madarakani imewabidi wawe magaidi.
 
Njia yoyote itakayotumika kuwaondoa wavamizi wa Kirusi Ukraine haiwezi kuwa au kuitwa ugaidi.
Ni kama vile ANC na Mandela walivyoitwa magaidi walipokuwa wanawashambulia makaburu.

Back
Top Bottom