Awamu yenu ishaisha tuliaNadhan Sasa n muda wa kuonyesha rangi zao tu Wala wasijifiche
Awamu 4 inaongoza awamu ya 6
Sawa bwana hongeren wateuliwa keki yenu hii
Mwananchi acha kukaa ndan fursa zipo nying n aibu kijifungia ndan
Angalizo kufanya biashara kando ya barabara n kosa kwa Sasa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo wa jalalani mwache aende lakini huyu mwana wa Isimani alikuwa bado anahitajika pale ardhi bado.Lukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Tanzania hakuna upinzanMasauni ni wa znz pia
naona huu mwaka spika nae atoke tu znz
Waziri mkuu nae znz!
Hivi akina Kabudi, Mkuvi na wengine hata Majaliwa
si wajitoe ccm?
Kweli hii nchi imekuwa genge sasa!
Upinzani hii ndiyo nafasi pekee ya kuingia Ikulu
huenda Mungu amejibu maombi yenu
Cha msingi mleteni mtu sahihi!
Acha unafiki hao walioteuliwa wana tatizo gani? Nipe kashfa za hao wateuliwa ambazo zimethibitika kuliko kubwabwaja tu.Nadhan Sasa n muda wa kuonyesha rangi zao tu Wala wasijifiche
Awamu 4 inaongoza awamu ya 6
Sawa bwana hongeren wateuliwa keki yenu hii
Mwananchi acha kukaa ndan fursa zipo nying n aibu kijifungia ndan
Angalizo kufanya biashara kando ya barabara n kosa kwa Sasa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umesema miaka mitano ya mateso? Kwahiyo unakiri wazi awamu iliyopita iliwafanyia hila bila sababu watu hao ili mradi tu wateseke?Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu.
Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu.
Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Lukuvi Hana shidaHagaya ni utopolo
Lukuvi ana shida gani?
Kabudi naye!
Yana mwisho, hakuna lililo la milele,sisi watoto tuliokulia mlo mmoja wa kulamangia nasi ipo siku yetu inakuja soon, kwa sasa wacha wenye keki mzoga timu wakenue meno 32 baada ya kuminywa makende kwa miaka 5Tulieni, Chama Cha Mapinduzi kina wenyeweπΊ
Wenye uwezo ni akina nani na taja mambo ya tofauti waliyoifanyia nchi hii tofauti na waliopo?Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga
Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Itabakwa nakwambia..πSasa tuibue hoja ya katiba mpya tushirikiane wananchi wote bila kujali vyama vyetu iwe mvua au jua katiba mpya lazima ipatikane
Vipi kuhusu Mkuchika?Lukuvi apumzike, alioanza nao wote washastaafu
Unafiki mtupu. Kila Rais anateua watu anaoamini watamsaidia kazi pasipo kikwazo sasa unataka amteue nani ili uridhike?Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.
Hii nchi ni ya familia.
Acha upumbavu weweOn my view:
Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.
Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
Vipi kuhusu Mkuchika?
π π π π π
Shida ni tishio kwa mzoga gang kwa kuwa alikuwa mfuasi wa Magu,waliondolewa wote ni wafuasi wa magu kindakindaki wao wamegoma kwenda na mama wa kaya, kaawacha akidhani ndio anaondoa kadhia kumbe kadhia ndio kwanza imeanza, hivi Kingu,Bulembo, Zungu,Kingwangwala pamoja na kuimba mapambio wee hawajapewa uwaziri ama kweli CCM ina wenyewe na wenyewe ni wenye baba zao, akina January,Nape,Ridhiwani( huyu ndio ajira ya kwanza rasmi kila kitu analetewa mezani kuanzia ubunge na sasa uwaziri)Lukuvi Hana shida