MAONI:. Ndoa ,,, Waislam vs Wakristo

Status
Not open for further replies.

Mbona Mzee Makamba kamuo Mkristo na kila mtu yupo na dini yake ile ile na mzee Makamba ni muumini mzuri tuu...
 
True waislamu wanaume wameruhusiwa kuowa Ahlul-kitabu ikiwa imeshindikana kumpata muislamu aliye msafi . Lakini siku hizi kuna khofu kwamba wale wanaooa huenda wakakutana na uovu zaidi. Wanaweza kuwaita katika dini yao na wanaweza kuwalea watoto wao katika Ukristo. Kwa hiyo hatari ipo hakika na ni kubwa. Ili kuwa katika amani, Muumini ni bora asiwaoe.
 
Mbona Mzee Makamba kamuo Mkristo na kila mtu yupo na dini yake ile ile na mzee Makamba ni muumini mzuri tuu...

..... haya sasa, ..............
 
Mbona Mzee Makamba kamuo Mkristo na kila mtu yupo na dini yake ile ile na mzee Makamba ni muumini mzuri tuu...

apo linakuja suala la uislam jina na uislam matendo!++
je unaamini kuwa wapo mapadri wenye watoto(wanafiki na dini yao)na pia wapo mapadri wanafuata misingi kanuni na sheria zote za kiimani.!?+
naimani umenielewa ninaposema uislam jina na wa ukweli.!
 
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,

Taqfadhali maoni.

NO OFFENCE PLEASE.

Kwa sababu mke ni rahisi kufata dini ya mumewe na Uislaam umekuja kukukomboa kutoka katika kuabudu masanamu na binaadam wenzio na kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa, hakuna anaye fanana naye hata mmoja.
 
Hao uliyowataja wanastahili HONGERA maana wanakubalika na shangazi na mamdogo (maelewano kwanza)
AFU VIPI WAKOSE MSIMAMO wa dini ? na Mwenyezi mungu ni mmoja ? na Msikiti/kanisa ni nyumba yake? na baada ya zoezi la mfungo wa mwezi ramadhani ni hujenga imani imara. hapo naona kuwa Mashabiki na waingiliaji ndo waharibifu wa imani za watoto. Mifano ya kuwa na parents wa imani tofauti upo LEBANON,IRAQ,TURKEY,INDONESIA,TZ,MISRI,Nk....
yote hayo, Mbora wao ni Raia mwema.
 
Kwa sababu mke ni rahisi kufata dini ya mumewe na Uislaam umekuja kukukomboa kutoka katika kuabudu masanamu na binaadam wenzio na kujisalimisha kwa Mwenyeezi Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa, hakuna anaye fanana naye hata mmoja.

Red''''= nilisha kombolewa zamani na Mungu ninaye muamini mimi ndio huyo wewe wamuamini, hivyo uislamu si ukombozi.

Blue'''=umeandika kashfa na ni kejeli... so unaharib mfungo wako,,, or else ni Muislam jina....
 
Mbona Mzee Makamba kamuo Mkristo na kila mtu yupo na dini yake ile ile na mzee Makamba ni muumini mzuri tuu...

Huyo sii muumini anajiita tu muislamu jina hakufuata misingi ya kiislam. Lazma ulitambue ilo
 
nimewahi kumtongoza binti wa kiislam/mpemba kwa lugha ya ndoa akagoma kwa madai kuwa kiimani hakuna ndoa kati ya dini tofauti. Nilimuelewa kwa sababu hata ktk ukristo ndoa kt ya dhehebu kwa dhehebu inaleta shida hasa ukitaka ibada ya ndoa.
 
Red''''= nilisha kombolewa zamani na Mungu ninaye muamini mimi ndio huyo wewe wamuamini, hivyo uislamu si ukombozi.

Blue'''=umeandika kashfa na ni kejeli... so unaharib mfungo wako,,, or else ni Muislam jina....

Uislamu umekuja kuwatoa watu katika ujinga ndo maana waislamu wanajitolea kwa hali na mali kuelimisha watu katika njia iliyonyooka. Hapa tunazungumzia waumini sio muislamu Jina. "Allah hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana aliyefanana nae" Apo ni ukweli mtupu ndugu yangu
 
Red''''= nilisha kombolewa zamani na Mungu ninaye muamini mimi ndio huyo wewe wamuamini, hivyo uislamu si ukombozi.

Blue'''=umeandika kashfa na ni kejeli... so unaharib mfungo wako,,, or else ni Muislam jina....

Wewe na dini yako nami na dini yangu. Hasira za nini?
 
nimewahi kumtongoza binti wa kiislam/mpemba kwa lugha ya ndoa akagoma kwa madai kuwa kiimani hakuna ndoa kati ya dini tofauti. Nilimuelewa kwa sababu hata ktk ukristo ndoa kt ya dhehebu kwa dhehebu inaleta shida hasa ukitaka ibada ya ndoa.

Yes, she was right
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…