MAONI: Nape alijiuzulu toka jana, hajatumbuliwa na Rais, ukisoma barua inajieleza

Angejiuzulu barua yake tungeiona...halafu hakuwa na sababu ya kujiuzulu kwasababu suala la clouds alishalisolve akaiachia mamlaka ya juu! Hivyo mamlaka za juu wakaona wampumzishe yeye bila hata kumjulisha...ni kama kwenda ofisini ukakuta ofisi yako kakaa mtu mwingine bila taarifa! Ni maamuzi ya bosi, yaheshimiwe...
Wewe&mimi hatuna jbu sahihi tumsubirie yeye ama mamlaka ya uteuzi itasema ukweli kama amejiuzulu ama wamembashite
 
Hongera NAPE umeuzidi uovu na kugeukia haki.haki imekuweka huru na hutasahaulika kwa msimamo imara uliochukua.Mungu muumba mbingu na nchi akulinde daima.ubarikiwe.
 
Zitto Kabwe ametweet kuwa amewasiliana na Nape aliyekiri kuwa ni kweli ameondolewa kwenye nafasi ya uwaziri
 
Bado hainingii akilini, hivi Nape akama Waziri alikuwa anawajibika kwa nani ? Au alikuwa huru kufanya lolote analotaka, je Tume aliyounda ilikuwa na watu mchanganyiko kwa mujibu wa cheo alichokuwa nacho Mtuhumiwa ?
 
Habari wadau!

Ukisoma barua ya Ikulu inajieleza wazi kuwa rais hajatengua uteuzi bali inaonyesha rais kafanya mabadiliko kwa nafasi iliyokuwa wazi.

Hivyo nimeamini Nape alisimamia kauli zake kuwa atajiuzulu iwapo mambo yataenda nje ya ushauri wa kamati.

Hivyo nchi hii inaongozwa na mkuu wa mkoa wa dar sio kama tunavyodhani
endelea kujifariji kwa maneno mazuri
 
Katumbuliwa. Msituchanganyie habari. Alichokitaka kwa mwenzie kimemkuta yeye. Wakina Majizo wamsaidie jamani.
 
Screenshot_2017-03-23-10-11-04-1.png
 
Ameondolewa. Jana alikuwa ameanza kujikomba kwa kujidai atafuata taratibu za kuwasilisha ile report yake. Hakutegemea haya yamkute.
 
Habari wadau!

Ukisoma barua ya Ikulu inajieleza wazi kuwa rais hajatengua uteuzi bali inaonyesha rais kafanya mabadiliko kwa nafasi iliyokuwa wazi.

Hivyo nimeamini Nape alisimamia kauli zake kuwa atajiuzulu iwapo mambo yataenda nje ya ushauri wa kamati.

Hivyo nchi hii inaongozwa na mkuu wa mkoa wa dar sio kama tunavyodhani
Mkuu, barua ya ikulu haijazungumzia kujaza nafasi iliyo wazi. Labda unazungumzia barua ya Nape ambayo hatujaiona.
 
Kawekwa pembeni acheni kuspin mambo. Kawekwa pembeni jamaa yenu. Akajifunze adabu huko mbele kwa mbele.
 
Naamini Nape anajua alichokifanya haijalishi kama kajiuzulu au katumbuliwa. Tutazidi kumsikia kwenye siasa za Tanzania. No wonder Mjomba kahakikisha hapati challenge ndani ya chama 2020 nahisi kuna vijogoo aliviona vinamlia timing.
 
Back
Top Bottom