MAONI: Nape alijiuzulu toka jana, hajatumbuliwa na Rais, ukisoma barua inajieleza

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari wadau!

Ukisoma barua ya Ikulu inajieleza wazi kuwa rais hajatengua uteuzi bali inaonyesha rais kafanya mabadiliko kwa nafasi iliyokuwa wazi.

Hivyo nimeamini Nape alisimamia kauli zake kuwa atajiuzulu iwapo mambo yataenda nje ya ushauri wa kamati.

Hivyo nchi hii inaongozwa na mkuu wa Mkoa wa Dar sio kama tunavyodhani.
 
Habari wadau!

Ukisoma barua ya Ikulu inajieleza wazi kuwa rais hajatengua uteuzi bali inaonyesha rais kafanya mabadiliko kwa nafasi iliyokuwa wazi.

Hivyo nimeamini Nape alisimamia kauli zake kuwa atajiuzulu iwapo mambo yataenda nje ya ushauri wa kamati.

Hivyo nchi hii inaongozwa na mkuu wa mkoa wa dar sio kama tunavyodhani
Ni kweli mkuu haijaandikwa katengua uteuzi bali imeandikwa kateua waziri kama alijiuzuru basi alifanya la maana sana
 
Back
Top Bottom