Nyumba iko boko
Ukubwa - square meter 190 (4 bedrooms)
Mafundi watatu wameniambia kupiga plasta ni milioni 3.5 ikipungua sana 3
Mchanga na smenti gharama ya kununua haizidi milion 1, sasa labour charge mara 3 ya vifaa is it fair kweli? Uwezo wa kulipa hiyo hela ninao ila nataka maoni yenu hasa mlioko sekta ya ujenzi.
Nikiwauliza kulikoni hiyo bei wananiambia mfuko wa smenti ndo umeshuka, wa mchele umepanda.