Losomich
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 371
- 71
Nyaraka hiyo imetolewa kwa vyombo vya habari leo na Naibu Katibu mkuu(bara) wa CUF MH.Juliasi Mtatiro alipokuwaakiongea na waandishi wa habari Makao makuu ya CUF.
By Preacher: MANGI MASTA, nakushukuru sana kwa ripoti hii. Imezababisha changamoto kutoka kwa wana jf. Walau umedhubutu japo umekutana na majembe yenye makali ya kiwembe. Pole sana. Mwisho~salamu zangu za pongezi ziwafikie wanakamati wote wa CUF walioenda ikulu na MAONI NA MAPENDEKEZO YAO kuhusu ktb mpy. Lakini nawasihi waache pilgarism (kukopi mambo kutoka kwa watu wengine bila ridhaa ya wenyewe). Wawe wabunifu waache kuiiga siasa za CDM, wanajiaibisha sana. Otherwise big up MANGI MASTA!!!