Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Baharini kule bahari kuu na pengine ni pale kwenye pembetatu ya Bermuda

Jr[emoji769]
Kwa hiyo Gamboshi ndiyo ya Dunia nzima, halafu hii ya Baharini ndiyo ya Ulaya? NIna interest sana na vitu hivi siku hizi kwa sababu mara ya kwanza ku-detect signal za mambo haya ilikuwa ni mwaka 2010. Before, nilikuwa nasikia tu na nilikuwa siamini, nilikuwa najua ni hadithi tu. Yaani Mungu alikuwa amenifunika kwa ulinzi wake wa ajabu sana halafu akaamua kunificha kabisa nisijue chochote kuhusu haya mambo. Yaani kama ingekuwa ni shule, sasa hivi ndiyo niko darasa la kwanza. Ila nakuhakikishia kuwa, kwa speed ninayoenda nayo, by 2030 nitakuwa tayari nimeshahitimu PhD. Kweli kabisa ninakueleza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo Gamboshi ndiyo ya Dunia nzima, halafu hii ya Baharini ndiyo ya Ulaya? NIna interest sana na vitu hivi siku hizi kwa sababu mara ya kwanza ku-detect signal za mambo haya ilikuwa ni mwaka 2010. Before, nilikuwa nasikia tu na nilikuwa siamini, nilikuwa najua ni hadithi tu. Yaani Mungu alikuwa amenifunika kwa ulinzi wake wa ajabu sana halafu akaamua kunificha kabisa nisijue chochote kuhusu haya mambo. Yaani kama ingekuwa ni shule, sasa hivi ndiyo niko darasa la kwanza. Ila nakuhakikishia kuwa, kwa speed ninayoenda nayo, by 2030 nitakuwa tayari nimeshahitimu PhD. Kweli kabisa ninakueleza

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr vipi andiko ushapeleka umefikia wapi so far? Haya maonyesho yakifanyika yatavutia sana binafsi nitahudhuria nijionee wafanyayo wataalam maana sina ninachoamini/jua kuhusu sekta hiyo.
 
Serikali haitambui ushirikina tulikwama hatua za awali kabisa na tukaambiwa kuwa haya mambo yanapingana na imani za watu
 
Back
Top Bottom