Aisee hii Dunia ACHENI iitwe DUNIA
Nini kimekusudiwa hapa
Kwenye ubora wao na sikwanini hawataki kuonekana nyuso zao
Mkuu nina shida na wewe mno nakutumia txt pm aziendi kakaWaafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia, wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala.
Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili. Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao, wakafanikiwa kwenye hili. Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya.
Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba. Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa. Imagine huo ni mkoa mmoja tu. Kuna walozi zaidi ya mia.
Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko Ulaya. Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.
Sasa hivi tumebaki tupotupo tu. Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida. Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake. Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia.
Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida. Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii.
Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo. Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi.
Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwa.
View attachment 1172515
.....Maombi yanayozingatia Tamaduni za kwao ni Ibada lakini maombi yanayozingatia Tamaduni za kwetu ni Matambiko na Ushirikina.... Hebu tufanye hivi: tumwombe/tumwagize ndg. Mshana J.r akishirikiana na 4GLTE wafanye fasta kuandaa Project proposal ya Maonesho hayo na sisi WADAU tuwawezeshe waipeleke Wizara ya Utamaduni na Vijana na Nakala nyingine wazipeleke kwenye Mfuko wa Ufadhili COVID 19 na kwingineko kupata Support ili kufanikisha maonesho hayo halafu Baadaye tufanye Tathmini. 😎😤Naunga mkono hoja!
Hivi, wizara inayo husika na utamaduni, wanajali utamaduni gani kama hawataki ku acknowledge utamaduni huu?
Wazungu wakiongea kwa simu ni sayansi, wakati sisi walikuta tayari tuna simu zetu za upepo (wakaziita ushirikina)
Wazungu wakienda makaburini, wanasema kuhiji au kuombea marehemu - sisi tulikuwa nautaratibu huu wa kwenda makaburini kuombea na kuwaomba marehemu, wakaita kuwanga makaburini.
Wafu wa kizungu ni watakatifu, wafu wa kwetu ni mizimu, daaah😳😳😳😭😭
Aisee! Binadamu ni zaidi ya mnyamaKumfanya mhusika aumwe mwili mzima
Wazo zuri sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545].....Maombi yanayozingatia Tamaduni za kwao ni Ibada lakini maombi yanayozingatia Tamaduni za kwetu ni Matambiko na Ushirikina.... Hebu tufanye hivi: tumwombe/tumwagize ndg. Mshana J.r akishirikiana na 4GLTE wafanye fasta kuandaa Project proposal ya Maonesho hayo na sisi WADAU tuwawezeshe waipeleke Wizara ya Utamaduni na Vijana na Nakala nyingine wazipeleke kwenye Mfuko wa Ufadhili COVID 19 na kwingineko kupata Support ili kufanikisha maonesho hayo halafu Baadaye tufanye Tathmini. 😎[emoji36]
Kuna MTU ananiibia ndizi shambani nifanyejee mkuu...
Nadhani ndo Kilingeni hapo.... 😁Au karakana..[emoji23][emoji23]
Serikali bhana! Waliomo ndani ya hiyo Serikali ni Wateja waaminifu sana kwa hii mambo lakini hapo wanasema inapingana na Imani za watu - kwani wao sio Watu??! Nawashauri Ndg. Mshana Jr. na 4GLTE kama tuko pamoja, thatha tumia Alternativu Bi.😠Serikali haitambui ushirikina tulikwama hatua za awali kabisa na tukaambiwa kuwa haya mambo yanapingana na imani za watu
Hili ni jini au
Haya ma FreeMason mbona yana sura ya kiupole yamevaa rozari afu ya mchoma mtu moto