Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
utapata kibali ila mwisho wa siku utajieleza baadhi ya nyenzo umetoa wapi. Ujue ajali inapotokea kuna wasionekana wanachukuwa vitu vyao
Ivi uchawi wa kimaendeleo pia upo kweli?
Maana mimi nahisi uchawi unapigwa vita kwasababu kwa kiasi kikubwa wachawi wapo kuvuruga mambo na kurudishana nyuma...kwa umri wangu huu leo ukiniambia kuna faida za uchawi nitakuuliza kwanini wachawi wasingekuwa na mafanikio makubwa sana kwa kutumia nguvu zao?
Andiko ushapeleka??tupe mrejeshoWaafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia, wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala.
Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili. Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao, wakafanikiwa kwenye hili. Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya.
Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba. Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa. Imagine huo ni mkoa mmoja tu. Kuna walozi zaidi ya mia.
Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko Ulaya. Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.
Sasa hivi tumebaki tupotupo tu. Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida. Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake. Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia.
Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida. Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii.
Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo. Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi.
Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwa.
View attachment 1172515
Ni sawa ni kwa mara chache tunafanya visivyo na faida ikiwa nikwa uzembe na tunajutia sana tukibaini.Mafanikio ya wachawi si ya kidunia bali ni katika ulimwengu wa giza..kumbuka vipo vingi visivyo na faida na bado tunavifanya....
Ni sawa ni kwa mara chache tunafanya visivyo na faida ikiwa nikwa uzembe na tunajutia sana tukibaini.
Sasa kama uchawi hauna faida kwenye Maisha yakidunia? Kuna maana gani serikali kuutambua wakati hauongezi chochote kwenye jamii?
Ulishawahi kuiona damu ya yesu au umekaririshwa?Damu ya Yesu yatosha