Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

.
945cd5504f9e03897bdae09050199c24.jpeg
hqdefault-18.jpeg


Jr[emoji769]
 
mshana jr heri ya mwaka mpya, ebwana naomba kuuliza kitu kimoja

....Ikitokea nimelala na mwanamke its means tumefanya soulties baina yetu, hivyo mimi na huyo mwanamke nafsi zetu zinaanza na kuwa very closely. sasa swali linakuja, je iwapo huyo mwanamke akaja kutembea na rafiki yangu kipenzi ama kaka wa damu, hapa soultie inakuwaje baina ya sisi watatu.😭😭😭😭
 
Hakuna jambo baya kama hilo kiroho kwakuwa analeta mgongano wa hali ya juu kuzichanganya damu mbili zenye kushabihiana vinasaba
mshana jr heri ya mwaka mpya, ebwana naomba kuuliza kitu kimoja

....Ikitokea nimelala na mwanamke its means tumefanya soulties baina yetu, hivyo mimi na huyo mwanamke nafsi zetu zinaanza na kuwa very closely. sasa swali linakuja, je iwapo huyo mwanamke akaja kutembea na rafiki yangu kipenzi ama kaka wa damu, hapa soultie inakuwaje baina ya sisi watatu.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom