Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 818
- 1,484
Uso na mapaja miaka 18, kifua miaka 50... Kama bibi Kasinde... Looh.
apo kifuani mi nikajua kaweka ndala...kumbe kifuani miaka 50
Uso na mapaja miaka 18, kifua miaka 50... Kama bibi Kasinde... Looh.
mhUso na mapaja miaka 18, kifua miaka 50... Kama bibi Kasinde... Looh.
apo kifuani mi nikajua kaweka ndala...kumbe kifuani miaka 50
Mimi nilijua atatetewa na wanawake, ajabu mwenyewe ndio wanamrushia za uso mfululizo...
Aaah huyu nae em kabla ya maombi atuambie ilikuaje kuaje ivo mbona Kama kuna ucheshi
Unafaa kuwa mtafiti
Hahaha not a joke ujue ujana maji ya moto, na fainali uzeeni, Ndo hivyo...apo kifuani mi nikajua kaweka ndala...kumbe kifuani miaka 50
Mmmh!hatarNa wadada piaView attachment 1094966
Ndo apo mtu anakuimbia eti 🎼baby niruhusu tufanane nikiamini one day utanioaa🎼 (in Maua's voice) stupid ufanane na nani...🤗Mungu ampe wa kufanana naye! Amen
Na wewe apoNdo apo mtu anakuimbia eti baby niruhusu tufanane nikiamini one day utanioaa (in Maua's voice) stupid ufanane na nani...
Mh.. unitakii mema Sakayo.Na wewe apo