Maombi yenu wanaume

Maombi yenu wanaume

Mimi nilijua atatetewa na wanawake, ajabu mwenyewe ndio wanamrushia za uso mfululizo...[emoji851][emoji851][emoji851]
 
Aaah huyu nae em kabla ya maombi atuambie ilikuaje kuaje ivo mbona Kama kuna ucheshi
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji38][emoji38]
Mimi nilijua atatetewa na wanawake, ajabu mwenyewe ndio wanamrushia za uso mfululizo...[emoji851][emoji851][emoji851]
 
apo kifuani mi nikajua kaweka ndala...kumbe kifuani miaka 50
Hahaha not a joke ujue ujana maji ya moto, na fainali uzeeni, Ndo hivyo...

Hapo nikivaa sindiria unanisahau kabisa hehehee.
 
Hujaheshimu mwili wako wamekuchezea mpaka matiti yamelala kama mahindi yaliyokauka mwanaume anayejiheshimu utampataje
 
Back
Top Bottom