Naomba kuulizaViatu haviuziki Tanzania karibu ugandaView attachment 3688644
Pole Sana mkuuBaada ya kushiriki vita ya Kongo.. Hatimaye nimefanyiwa operation na nimekatwa nyayo za miguu yote miwili...
Namuomba mungu anisaidie nipone haraka!
Ww elewa tuu mtoa mada hana visigino πAloooh! Sijaelewa kitu
Unakufa lini mkuu?Aloooh! Sijaelewa kitu
Ww elewa tuu mtoa mada hana visigino π
ok pole sana,Baada ya kushiriki vita ya Kongo.. Hatimaye nimefanyiwa operation na nimekatwa nyayo za miguu yote miwili...
Namuomba mungu anisaidie nipone haraka!