Hahahaha kitoto cha kabanga ni kitundu sana
Hahahaha kitoto cha kabanga ni kitundu sana
khaa, mtoto balaa, sijui hata picha ya Honey Faith kaiona....??
Kwani kabanga unataka kusema kuwa Honey Faith ndio naye hivyohivyo?
khaa, mtoto balaa, sijui hata picha ya Honey Faith kaiona....??
Kwani kabanga unataka kusema kuwa Honey Faith ndio naye hivyohivyo?
mshana jr alitaka kuandika kipare akatelezaUnajua sometimes kiswahili huwa nakiona kigumu.Hapa unamaanisha nini?
Mie nilikuwa nachungulia dirishani atiii
Unajua sometimes kiswahili huwa nakiona kigumu.Hapa unamaanisha nini?
mshana jr alitaka kuandika kipare akateleza
Ndio maanaaaa.Mzima lakini shem wangu?
alitaka kusema kwamba katika picha zilizomo nawe ya kwako imo....????/
Mzazi ndo wa kulaumiwa na ndio mwenye makosa! Dogo bila kujua ukweli anaomba kikwelikweli
Sasa nyumba ya jirani mie picha zangu zitatoka wapi??