Nadhani leo akisoma hapa atapata jibu:...Ukijipa nafasi kutaka kujua nani anapaswa kufanya yale yanayowakwamisha na kuwasababisha kutofanya kazi katika siku na muda waliopanga utagundua siyo wao bali Mteja wao. ...
...Mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Morogoro STRABAG aliamua kusimama kujenga eneo hili maarufu la Manzese kwa sababu za kiusalama. Kwani wafanyabiashara walivamia eneo lote la ujenzi na kukata vizuizi vilivyowekwa.Ili hali wakijua hakuna wa kuwachukulia hatua. Mahindi yanachomwa katikati ya barabara nk ...:kev:
FFU wanahamu na maagizo ya Waziri mkuu aka mtoto wa Mkulima..