jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Sisi tunampenda jombaa..wana arushaa..we nenda kale ugali wa muhogoo hukooKwani ni lazima kiwe na jina la tusiompenda?
Ili iweje!?
Sisi tunampenda jombaa..wana arushaa..we nenda kale ugali wa muhogoo hukooKwani ni lazima kiwe na jina la tusiompenda?
Ili iweje!?
Kwani mtu akifa MUNGU kamkataa ama?Yaani wanashindwa tu kutangaza siku ya kumuabudu huyu mfu, aliyekufa kibudu.
Kama Mungu alimkataa sisi wanadamu hata tumtukuze vipi haitasaidia
Ficha ujinga wakoWengine ni akina nani? Hapendwi chato wala kizimu. Ni motoni tu.
Kifo kina namna 3.Kwani mtu akifa MUNGU kamkataa ama?
Atakayekufa kibudu ni lisu anayeshikishwa ukuta na rob amsterYaani wanashindwa tu kutangaza siku ya kumuabudu huyu mfu, aliyekufa kibudu.
Dalili kama zipi? Ebu ziweke hapa..yaan kisa ww umefukuzwaa kazi kwa kuwa na cheti feki ndo utuletee chau chau hapaaaKifo kina namna 3.
1. Mungu amekupenda anakuita akakupe raha mbinguni.
2.Kifo kama ukomo wa maisha ya mwanadamu.
3. Kifo kama adhabu na laana.
Hii namba 3 Magufuli ndipo alipo, dalili zote za kifo cha Magufuli kuwa ni kuchokwa na Mungu zilionyesha.
Wewe juha Magufuli hakuwahi kupinga wawekezaji alikuwa hataki wawekezaji wababaishaji? ndo maana mashamba mengi wawekezaji wababaishaji yalifutwa umiliki wakati wake hata saizi mama anaendelea kufuta. Ila kwa akili yako kila mwekezaji ni wa maana.Marehemu aliua uchumi na kujitengenezea maadui wengi.
Awamu ya 6, kujishikamanisha sana na Serikali ya awamu ya 5, ni kufanya kosa kubwa la kiufundi na kujiwekea ugumu kuyafikia malengo yake kwa haraka.
Walioondoa vitega uchumi vyao Tanzania, kama wataona mwelekeo unakaribiana sana na ule wa awamu ya 6, hawatavirudisha vitega uchumi vyao, na vipya havitakuja, wala hata hawa wawekezaji wa humu ndani hawatashawishika kujenga kwa haraka.
Mwekezaji anahitaji sana uhakika wa mazingira anayowekeza. Awamu ya 5 ilikuwa hostile kwa investors na business community. Je, awamu ya 6 inafanya nini cha pekee kuonesha ina tofauti kubwa na awamu ya 5?
Kwa akili yako ya kimavi sawa.Kifo kina namna 3.
1. Mungu amekupenda anakuita akakupe raha mbinguni.
2.Kifo kama ukomo wa maisha ya mwanadamu.
3. Kifo kama adhabu na laana.
Hii namba 3 Magufuli ndipo alipo, dalili zote za kifo cha Magufuli kuwa ni kuchokwa na Mungu zilionyesha.
Mbinguni au motoniMagufuli ameifanyia mambo mema na makubwa sana nchi hii. Alikuwa Rais bora kabisa wa nchi yetu. Shujaa wa Afrika na kiboko cha mabeberu, Rais Magufuli, apumzike kwa amani mbinguni.