kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,499
wanawake wengi waoga wa kuachika plus ujiko kuwa mimi mke wa DC japo vipigo kila siku huko vijijini DC ni mtu mkubwa sana hata kama amestaafu bado anaendelea kuwa mungu mtuKwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.