Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Nashukuru kusikia hivyo...pia nafurahi kuona leo munkari wa jana umeishaRich woman mimi ni mzima.

ummu kulthumu huu sio umaharufu kama unavyo sema, ila ni jinsi gani nimekua mchangiaji na ndio maana wana nijali na kunipenda kama mdogo wao na kama mtoto wao na kama wadogo zangu na kama kaka zangu. Jumapili Njema
Haya yote kwasababu ni uwaziri mkuu. Source El . Na mie sijui itakua nini chanzo Mr Rocky
ummu kulthumu huu sio umaharufu kama unavyo sema, ila ni jinsi gani nimekua mchangiaji na ndio maana wana nijali na kunipenda kama mdogo wao na kama mtoto wao na kama wadogo zangu na kama kaka zangu. Jumapili Njema
Mkeo ni nani hapa chit chat manoah tujue anakupa nini aise mpaka uwe maarufu hivyo
jumapili bado kufika,asante kwa majibu mazuri
Chukua 200 hii uende shule
Mimi na Nyani Ngabu ni waarabu?
si mpaka! Nyani Ngabu ni zinjathropus!Mimi na Nyani Ngabu ni waarabu?