Kabaki na mzigo wote huo kwa nini?Mm sishangai manji kukutwa na sare za jeshi yule ni mfanya biashara. Na tukumbuke serikali kila kazi zake zoote wanatangaza tenda bila mh. Magufuli kupiga marufuku inaa maaan sare zote zilikuwa zinashonwa na wazabuni mbalimbali so hawakutoa barua za kusitisha Zabuni walizozitangaza japo raisi alisema zifanywe na majeshi husika..hizo zilibaki tu labda hiyo mihuri ndo cjui..lkn ni kitu cha ajabu ht rim za karatasi ofisi za serikali mpk mzabuni alete kweli??hlf tunalalamika rushwa itaishaje
Watanzania.Manji si aombe msamaha kwa aliyemkosea yaishe? Mbona anajitesa?
Anafanya kiburi gani tena?Kiburi pia sio kizuri.
Zimebebwa zotekwa hiyo hakuwa na ukazi mbili kama zilivyovuma! angeweza kutumia kitambulisho cha ukaazi mwingine kwenda ukazi mwingine
Inawezekana kukawa na ukweli uliojificha lakin wakuufubua ukwel uo niyeye mwenyewe basi aweke waziiMwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
VyoteMwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Hahahahahahhaha kila akidakwa anaumwa moyo
notedInasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Kama haihusiani na treason, basi itakuwa ni dili alilozoea kupiga na wakubwa flani pengine ndani ya jeshi. Huo muhuri pengine wakiutumia kuchonga mibarua.
Wanasema alikutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Sasa hapo ni sawa na kusema muhuri huo ulikuwa ni halali wa jeshi ila kakutwa nao yeye isivyo halali. Scenario kama hiyo, lazima kuna conspirators.
Scenario ya tofauti ni kama aliuchongesha huo muhuri yeye. Ila hapo lugha ilitakiwa waseme ametumia muhuri wa bandia. All in all, uwezekano ni mkubwa kuwa ameshirikiana na watop flani na siyo issue iliyoanza leo,maana hivyo vitambaa si alikuwa anawauzia jeshi? Pengine muhuri ukitumika wakati wa kuchonga barua ya maombi?
2015 25 OctoberKondakta huyu leseni ya udereva aliipata lini?
Mbona ccm wenzenu mlikuwa nnakula fedha zake mpaka mkampa jengo la uwt ambalo sahv ni Airtel hqKiburi pia sio kizuri.
Kama muhusika sio Manji, wewe tuambie ni nani?Huoni kuwa Kuna ulakini ktk hayo mashtaka.....!!!? Ujue kuwa hivyo vitambaa na mihuli haijakutwa nyumbani kwake ni kwenye maghala yanayomilikiwa na kampuni, kampuni ambayo yeye alijivua nyadhifa zoote na kubaki kuwa mshauri tuu
Ikiwa itaendeshwa kihaki yeye hatokuwepo isipokuwa itadondokea kwa watendaji. Ila kwa kuangalia walivyoanza nayo inaashiria hiyo haki haitokuwepo
T doesn't make sense kabisaMali zimekutwa kwenye Maghala ya Quality Group, kesi kafunguliwa Yusuph ambae Officially alishatangaza kuachia Ngazi Quality Group na kubaki Mshauri tu!
Hii kesi ni Nyepesi sana Kama Mahakama zingekuwa zinaendeshwa kisheria sio Ki amri
That makes the two of usBado sidhani kama manji ni mjinga kiasi hicho kukaa na hivyo vitu pamoja na mikesi kibao aliyo nayo nchi hui