Kama haihusiani na treason, basi itakuwa ni dili alilozoea kupiga na wakubwa flani pengine ndani ya jeshi. Huo muhuri pengine wakiutumia kuchonga mibarua.Duh!
Kama ni kweli basi atakuwa ni bonge la zumbukuku.
Hajui kuwa sasa kuna sheriff mpya hapa mjini?
Mm sishangai manji kukutwa na sare za jeshi yule ni mfanya biashara. Na tukumbuke serikali kila kazi zake zoote wanatangaza tenda bila mh. Magufuli kupiga marufuku inaa maaan sare zote zilikuwa zinashonwa na wazabuni mbalimbali so hawakutoa barua za kusitisha Zabuni walizozitangaza japo raisi alisema zifanywe na majeshi husika..hizo zilibaki tu labda hiyo mihuri ndo cjui..lkn ni kitu cha ajabu ht rim za karatasi ofisi za serikali mpk mzabuni alete kweli??hlf tunalalamika rushwa itaishajeAtueleze sare za jeshi kazipata wap?
Tatizo hizi story zetu za vijiwe vya Kahawa.. Mimi niliskia aliyesema hivyo Z Hanspope baada ya malori yake kuzuiliwa mizaniInasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Kama binadamu nafeel Empathy to Manji's situation. Kwa kweli kesi ya Drug Abuse imemuanika! Kila uchao kinakuja hili, huko Mbagala wananchi wa kata yake wanahudumiwa na nani?Mali zimekutwa kwenye Maghala ya Quality Group, kesi kafunguliwa Yusuph ambae Officially alishatangaza kuachia Ngazi Quality Group na kubaki Mshauri tu!
Hii kesi ni Nyepesi sana Kama Mahakama zingekuwa zinaendeshwa kisheria sio Ki amri
Mjomba na wewe uko mbali... Dereva anayesemewa sio huyu wa sasa ni aliyepita... Sasa huyu Dereva wa sasa wakati huo akiwa utingo ndio akakutana na hiyo kauli.. Japo wengine wanasema Hanspope ndiye alisema hivyo sio Manji sasa sijui nani mkweliKondakta huyu leseni ya udereva aliipata lini?
Hahahahahahhaha kila akidakwa anaumwa moyoManji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovuMwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Huoni kuwa Kuna ulakini ktk hayo mashtaka.....!!!? Ujue kuwa hivyo vitambaa na mihuli haijakutwa nyumbani kwake ni kwenye maghala yanayomilikiwa na kampuni, kampuni ambayo yeye alijivua nyadhifa zoote na kubaki kuwa mshauri tuuAngekuwa kuwa ni mlalahoi ndiye aliyekamatwa na uniforms za jeshi bado mngeona kaonewa au kwa sababu ni tajiri ndio mnaona kaonewa?!
Tuache tabia ya kuona jela ni za maskini tu!!
Sasa ndo amegeuka mbwaInasemekana aliwahi kumjibu Dereva wa sasa kwamba hawezi kuongea na mbwa anaongea na mwenye mbwa. Sasa hatujui ndio analipia kauli zake sasa ama.laa
Passport walichukua.Hata mi namshangaa.na mapesa yote yale ingekuwa mimi ningehamisha familia kabisa.
Barabara kutoka mbagala kuu shuleni mpaka kibonde maji ni utata mtupu. nasikia aliahidi akipata udiwani ataikarabati...bado kutimiza ahadi ya 'chama' kupitia udiwani wake.Kama binadamu nafeel Empathy to Manji's situation. Kwa kweli kesi ya Drug Abuse imemuanika! Kila uchao kinakuja hili, huko Mbagala wananchi wa kata yake wanahudumiwa na nani?
kwa hiyo hakuwa na ukazi mbili kama zilivyovuma! angeweza kutumia kitambulisho cha ukaazi mwingine kwenda ukazi mwinginePassport walichukua.
Bado wenzake kwenye "chama" wana haja naye?Barabara kutoka mbagala kuu shuleni mpaka kibonde maji ni utata mtupu. nasikia aliahidi akipata udiwani ataikarabati...bado kutimiza ahadi ya 'chama' kupitia udiwani wake.