magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Ni kweli anaweza kuhama nchi ila tujue tu atahama na ajira za watu kibao ambao mpaka sasa serikali bado haijajipanga kuwapa ajira wala kuwawezesha kujiajiri.
Siungi mkono ufisadi ila nawakubusha tujadili haya mambo kwa kuangali pande zote ili watu waweze kujipanga.
Ahame inchi,namjua kama mpigaji na mdhulumati ukifuatilia apeech ya mengi JPM hawezi muonea ivi ivi tuu kuna rafu apo.
Maana utajiri wote alionao ukiuliza kodi alipayo sasa ndo unaweza zimia
tajaa kitendo hata kimoja alichohujumu
Umesoma alichoandika Elli au unakuja tu kusema naropoka!!??Sio unaropoka tu umeona tangazo au? Nenda kaangalie tangazo halafu urudi hapa home manji kapewa tuzo kama nani,
Binafsi namwelewa maana biashara kubwa zinahitaji good name na good reputation sasa kwa yote yanayoongelewa yanamharibia kibiashara nakifamilia, Tanzania hasa kipindi hiki cha Maghufuri tusipokuwa makini tutakuwa victimised. Na inaonekana tender ilitangazwa na alishinda na kama kuna udanganyifu basi iwekwe wazi otherwise he is being victimised and he is right to come clean.
Bila shaka hapo wanaonekana kama wana kwao mwingine zaidi ya tz. Lkn vipi Mrugulu au Mgogo, ana mwingine. Sorry, but that is I see it. Back in 1995, wahindi wengi walihamisha familia zao wakisubiri haki ya Uchaguzi. Lkn akina Dionizi Na akina Mengi unadhani walifanya hivyo??
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Magala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka swala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini? Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga? Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
Ni kweli anaweza kuhama nchi ila tujue tu atahama na ajira za watu kibao ambao mpaka sasa serikali bado haijajipanga kuwapa ajira wala kuwawezesha kujiajiri.
Siungi mkono ufisadi ila nawakubusha tujadili haya mambo kwa kuangali pande zote ili watu waweze kujipanga.
Tusimhukumu mzee Manji bila vielelezo vya uhakika,nilipoliskia lile tangazo lake clouds kuna kitu nilikismkia kuwa kuna watu wanamchafua kwa sababu za ushindani wake katika biashara! Tuweke maneno ya akiba!