Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,651
- 588
Kwani msomali sio mwafrika?
Hoja yako ililala kwenye jina Yanga Afrika, sasa unapohalalisha simba kuongozwa na msomali (mwafrika) ina maana simba nayo sasa ni Simba Afrika?
Kwani msomali sio mwafrika?
wewe unaongea nini? Hujua hata South Africa kuna kina De Clerk? Acha ubaguzi bana, mbona klabu ya simba haina simba bali watu, tena inaongozwa na al shabab na sisi hatusemi?
Kumbe na wewe Yeboyebo??mkuu hivi wewe kweli unasema kw kuwa na uhakika ama ni kwasababu ya wewe si mpenzi na wanachama wa yanga? sisi ndio wapiga kura wa Yanga na imefika mahali inabidi soka la bongo tulibadilishe, yatupasa kila mwanachama anayeona kwamba anaweza kuongoza yanga kimafanikioa basi aje agombee na akitushawishi tumpe kuura kwa ustaw wa timu yetu.
binafsi ni miongoni mwa waliokuwa wanashabikia Manji na asi kwamba alihonga ama ananijua no ni kwasababu sera zake kwamba ataifanyia nini Yanga ndiyo iliyoniconvice. na wala si kwamba hajui mchezo la hasha mara ngapai amekuwa akishauri Yanga ila tu ushauri wake unakawa unachukuliwa kama kitu cha kawaida na baadhi ya viongaozi wetu hadi kufikia hatua ya yanga kuwa timu mbovu? kama ilikuwa kila siku tunagonga kwake kuomba hela na anatupa ila akitushauri atu wanaona hela itatumika sana wanaupiga chini basi bora aende yeye ili aone hela yake anayoitoa inatumikaje. to me nilivutiwa sana na maendeleo ya Azam FC hadi kufikia kuwa timu bora kiasi hiki basi na simba na yanga zapaswa kujitahd.
Kwani msomali sio mwafrika?
Kwani jina Simba limebeba mwelekeo wowote wa ki-Afrika ndani yake?
Kumbe na wewe Yeboyebo??
Hongera sana......... Ukiona hii makitu unajisikiaje?mimi ni yanga damu since niko mdogo na ungekuwa uwanja unasema basi kiwanja cha ushirika Moshi kingesema manake ndipo nilipokatia shauri nikiwa na miaka 6. wakati huo wachaga mna timu siyo kama leo mmeishiwa hadi sisi wandengereko tuna timu.
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more
mkuu hivi wewe kweli unasema kw kuwa na uhakika ama ni kwasababu ya wewe si mpenzi na wanachama wa yanga? sisi ndio wapiga kura wa Yanga na imefika mahali inabidi soka la bongo tulibadilishe, yatupasa kila mwanachama anayeona kwamba anaweza kuongoza yanga kimafanikioa basi aje agombee na akitushawishi tumpe kuura kwa ustaw wa timu yetu.
binafsi ni miongoni mwa waliokuwa wanashabikia Manji na asi kwamba alihonga ama ananijua no ni kwasababu sera zake kwamba ataifanyia nini Yanga ndiyo iliyoniconvice. na wala si kwamba hajui mchezo la hasha mara ngapai amekuwa akishauri Yanga ila tu ushauri wake unakawa unachukuliwa kama kitu cha kawaida na baadhi ya viongaozi wetu hadi kufikia hatua ya yanga kuwa timu mbovu? kama ilikuwa kila siku tunagonga kwake kuomba hela na anatupa ila akitushauri atu wanaona hela itatumika sana wanaupiga chini basi bora aende yeye ili aone hela yake anayoitoa inatumikaje. to me nilivutiwa sana na maendeleo ya Azam FC hadi kufikia kuwa timu bora kiasi hiki basi na simba na yanga zapaswa kujitahd.
Hongera sana......... Ukiona hii makitu unajisikiaje?
Na kweli bana, mimba ya mchumba si sawa na ya mke? Mtajifungua lini sasa?hawa washumba tu kwetu.
Mkuu Azam FC na Yanga na Simba ni vitu viwili tofauti. Azam ni ya mtu na hizi Simba na Yanga ni za wanachama.
Na kweli bana, mimba ya mchumba si sawa na ya mke? Mtajifungua lini sasa?
Ngoma droo, yanga inaongozwa na mhindi wakai simba inaongozwa na msomali - una swali la nyongeza?
Fikra mpauko sampuli hii sizipendagi!Kama Kweli Manji ameukwaa uenyekiti basi tutarajie haya yafuatayo;
1. Yanga haitafungwa tena goli 5:0 wala 2:0 za kagame cup hazitajirudia
2. Marefa wakae mkao wa kuvuna mshiko kutoka yanga
3. Timu ya yanga ikienda kucheza nje ya nchi, wajiandae kuweka madawa ya kulevya kwa wingi kwenye mipira.
4. Azam fc isahau kupata nafasi mbili za juu kwenye msimamo wa ligi.
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more