Manji Mwenyekiti Mpya Yanga!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga:

Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza kuwaingiza akina Lowasa wenye mapesa hayo katika Madaraka!!!!!!!!!

Matokeo Kamili

Nafasi ya Mwenyekiti:
Yusuf Manji (kura 1876) 97.0%, John Jembele (kura 40) 2.6%, Edgar Chibura (kura 4) 0.24%

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti:
Clement Sanga (kura 1948) 62.6%, Yono S Kevela (kura 475) 23%, Ayoub Nyenzi (kura 288) 14%

Nafasi ya Ujumbe:
Abdallah Bin Kleb (kura 1942), Moses Katabaro (kura 1068), Aaron Nyanda (kura 922), Geroge Manyama (kura 682), Beda Tindwa (kura 391), Edgar Fongo (kura 295), Graticius Ishengoma (kura 247), Jumanne Mwamenywa (kura 251), Justine Baruti (610), Lameck Nyambaya (kura 425), Omary Ndula (kura 170), Peter Haule (441), Ramadhan Said (249), Yono Kivela (123)

kutokana na matokeo yalivyo hapo juu safu ya viongozi waliochaguliwa ni
Mwenyekiti: Yusuf Manji,
Makamu Mwenyekiti: Clement Sanga
Wajumbe: Abdallah Bin Kleb, Moses Katabaro, Aaaron Nyanda, Geroge Manyama
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga
 
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga:

Jambo hili linaonekana kuwa litawakera Wanasiasa upande wa Mtandao wa Mh Sitta kwani inatajwa kuwa Manji , Rostam, Lowasa na Chenge wameunda mkakati wa kutumia Timu hiyo kupata nguvu ya kisiasa .Hata hivyo pamoja na Kashifa za Manji lakini Ubabe wa fedha ndio uliotumika.

Wapiga kura wanaangalia pesa na si tuhuma za Madawa ya kulevya!!!

Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza kuwaingiza akina Lowasa wenye mapesa hayo katika Madaraka!!!!!!!!!
Sitta shabiki wa Simba ulitarajia afurahie mafanikio ya Yanga? Usilete siasa kwenye michezo wewe tuambie Manji ameshinda kwa kura ngapi? Kama walijua hilo walifanya nini kuzuia asipite? Simple minded
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga
Mbona Makocha tunatumia wazungu? Hivi Dewji sio Mhindi? Au wewe ulikuwa hujazaliwa wakati Kassim na Azim Dewji wakitawala Simba? Wabunge kibao wahindi na Waarabu wanatamba Bungeni kina MO, Murji, Abood, RA n.k leo Yusuph Manji ndio tatizo? Hata yule M/kiti wa SSC si Mwarabu? We vipi bwana?
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga
wewe vipi...un ajua mpira au unaleta siasa za kila chama fulani ?ambao mhindi mbaya lakini kiatu chake dawa? sabodo ?

football haitaki mambo ya ubaguzi , hujaangalia euro juzi juzi tu namna ubaguzi ulivipigwa vita?
hujamuona John TERRY alipandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ubaguzi? kama Yanga wangemwacha Manji kwa sababu za ubaguzi basi yanga ingeweza kufungiwa na fifa.
nadhani uchaguzi ujao 2015 kuna haja ya kupata Rais mhindi au mwarabau..tuone hali itakuwaje? naamini tutakuwa mbali zaidi....
 
Sitta shabiki wa Simba ulitarajia afurahie mafanikio ya Yanga? Usilete siasa kwenye michezo wewe tuambie Manji ameshinda kwa kura ngapi? Kama walijua hilo walifanya nini kuzuia asipite? Simple minded

naunga mkono hoja
 
wewe vipi...un ajua mpira au unaleta siasa za kila chama fulani ?ambao mhindi mbaya lakini kiatu chake dawa? sabodo ?

football haitaki mambo ya ubaguzi , hujaangalia euro juzi juzi tu namna ubaguzi ulivipigwa vita?
hujamuona John TERRY alipandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ubaguzi? kama Yanga wangemwacha Manji kwa sababu za ubaguzi basi yanga ingeweza kufungiwa na fifa.
nadhani uchaguzi ujao 2015 kuna haja ya kupata Rais mhindi au mwarabau..tuone hali itakuwaje? naamini tutakuwa,mwambie huyo soka haitaki ubaguzi ndo maana shehe mansoor kanunua man city
 
Hongera manji,tunataka uige mfano wa huyu tajiri wa congo uifanye yanga iwe kama hivi....ili matajiri wengine wenye mapenzi na timu nyingine nao waige mfano wako na hatimae kuleta maendeleo kwenye club zetu

574863_438362372852728_859102223_n.jpg

540831_438361249519507_1211504543_n.jpg
Sehemu ya Kupumzikia wakuu
524109_438361366186162_1537574782_n.jpg
View kutoka sehemu ya juu ya VIP
426934_438361652852800_1838818983_n.jpg
Moise Katumbi akiangalia uwanja viti vya mzunguko
283605_438361772852788_687915680_n.jpg
Makabati ya kuwekewa nguo vyumba vya kubadilishia
319469_438362072852758_262813654_n.jpg

575695_438362152852750_1687688983_n.jpg
Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa TP Mazembe
 
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga: Jambo hili linaonekana kuwa litawakera Wanasiasa upande wa Mtandao wa Mh Sitta kwani inatajwa kuwa Manji , Rostam, Lowasa na Chenge wameunda mkakati wa kutumia Timu hiyo kupata nguvu ya kisiasa .Hata hivyo pamoja na Kashifa za Manji lakini Ubabe wa fedha ndio uliotumika. Wapiga kura wanaangalia pesa na si tuhuma za Madawa ya kulevya!!! Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza kuwaingiza akina Lowasa wenye mapesa hayo katika Madaraka!!!!!!!!!
Mkuu ingetosha tu kutuhabarisha sasa ukiweka zaidi maoni na msimamo wako unaondoa utamu wa habari yenyewe tena ukiwa kama mtoa hoja...au ndo yale ya kutoa na kuunga mkono hoja??...
 
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga:

Jambo hili linaonekana kuwa litawakera Wanasiasa upande wa Mtandao wa Mh Sitta kwani inatajwa kuwa Manji , Rostam, Lowasa na Chenge wameunda mkakati wa kutumia Timu hiyo kupata nguvu ya kisiasa .Hata hivyo pamoja na Kashifa za Manji lakini Ubabe wa fedha ndio uliotumika.

Wapiga kura wanaangalia pesa na si tuhuma za Madawa ya kulevya!!!

Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza kuwaingiza akina Lowasa wenye mapesa hayo katika Madaraka!!!!!!!!!

Kilichobaki kwa Manji ni kuoa dada zao wanachama wote wa Yanga ikiwa pamoja na Mashabiki wao.
 
Back
Top Bottom