Manji Mwenyekiti Mpya Yanga!

Sita ni shabiki wa Simba hivyo mambo ya yanga hayamhusu. JK ndoo mshabiki wa yanga
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga

Nilifundishwa kuwa majina huumba, BONGOLALA ni BONGOLALA tu...naona kule Msimbazi Watanzania wenye bongolala kama wewe mmeweza kujitawala na ndo maana mnaongozwa na Msomali.
 
Taarifa Kutoka Ukumbi Wa Diamond Jublee Zinaonyesha Kuwa Yusufu Manji ameshinda nafasi ya Mweyekit timu ya Yanga:

Jambo hili linaonekana kuwa litawakera Wanasiasa upande wa Mtandao wa Mh Sitta kwani inatajwa kuwa Manji , Rostam, Lowasa na Chenge wameunda mkakati wa kutumia Timu hiyo kupata nguvu ya kisiasa .Hata hivyo pamoja na Kashifa za Manji lakini Ubabe wa fedha ndio uliotumika.

Wapiga kura wanaangalia pesa na si tuhuma za Madawa ya kulevya!!!

Dalili hii ya Wapiga kura kuangalia pesa ya Rushwa ndiyo inaweza kuwaingiza akina Lowasa wenye mapesa hayo katika Madaraka!!!!!!!!!
Acha majungu! Kama amechaguliwa kihalali mwacheni! Tutajua kama anafaa au hafai hapo baadae! Kwani waliopita wamefanya nini!
 
Acha ubaguzi wako wewe Manji ni mtanzania mwenye uchungu na club yake nyie simba mapovu yanawatoka sasa
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga
 
A Young African Football Club now being led by an Asian............Pathetic!......Now I will hate you even more

Kuna timu zinaongozwa na raia wa kigeni, itakuwa raia lakini wa race nyengine?!

Mpira ni biashara, na ubaguzi kwenye biashara [kama kwenye masuala mengine] hauna nafasi.
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga

Acha akili MGANDO. Mbona wahindi kibao wapo bungeni na wanashiriki kutunga sheria za kuendesha nchi hii na husemi.Watu wenye akili finyu kama yako ni hatari katika jamii . Wewe unataka tuendelee kuongozwa na viongozi wanaoishi na kula kwa jasho la wachezaji????????????:redface:
 
Mngejaribu kumnyima kura muone kama hamjalala njaa, huyo ndio Mungu wenu
 
Aangalie asijekimbizwa kama MENGI alivyokimbizwa yanga!watanzania tumeshindwa kujitawala mpaka mhindi anatutawala sasa yanga

Ngoma droo, yanga inaongozwa na mhindi wakai simba inaongozwa na msomali - una swali la nyongeza?
 
Sasa wewe unayeijuwa soka niambie kwa nini iliitwa YOUNG AFRICANS na sio YOUNG TANZANIANS?

wewe unaongea nini? Hujua hata South Africa kuna kina De Clerk? Acha ubaguzi bana, mbona klabu ya simba haina simba bali watu, tena inaongozwa na al shabab na sisi hatusemi?
 
Back
Top Bottom