kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 145
Manji anatarajia kuweka heshima Jangwani kwa kuwajengea uwanja wenye thamani ya sh. 78 Bilioni. Utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000. Atajenga uwanja huo kama mchango wake kwa Yanga. Alitoa taarifa hizi kwenye kamati ya utendaji wakati akijenga hoja za kumfukuza kocha Seintieef pamoja na Mwesiga na Sendeu. Tunasubiri utekelezaji.