Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said ulisema ndani ya Siku 100 zako tutaanza kuona Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa mbona sasa Vyura wanazaana tu Jangwani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Yaani Matajiri wote waliopita Yanga SC yako ( tena waliokuwa wakimzidi Pesa ) Boss na Tajiri yako Gharib Said Mohammed ( GSM ) Marehemu Mzee Mengi na Panjuani Manji walishindwa leo ndiyo Wewe Mtoto wa juzi tu uweze Kulifanikisha hili?

GENTAMYCINE nilikuwa nakuchora / nakuangalia tu ulivyokuwa Ukiwaokota / Ukiwadanganya wana Yanga SC kuwa utajenga hapo / pale Jangwani Uwanja mkubwa kama wa Barcelona au Real Madrid wakati hata kuwa na Uwanja wenu wa Mazoezi kama walionao Simba SC mmeshindwa na sasa mnataka Kutulazimisha tuamini kuwa mliko sasa Avic Town Kigamboni ndiko Kwenu wakati wenye Akili tunajua huko ni kwa Mstaafu Mmoja mwenye Share ya Umiliki wa hilo Eneo kwa Kushirikiana na aliyekuwa Rais wa Marekani Bush ambaye aliitembelea Tanzania pia Kipindi chake cha Uongozi.

Rais Injinia Hersi Ujenzi tunaanza lini?
 
cb5398ee-213e-41de-a170-23ff2360f5eb.jpg
 
Kipindi upo kwenu Kigali alikuwepo jamaa mmoja wa kuitwa Abbas Gulamali, nae alishindwa hata kuchora ramani ya uwanja
 
Popoma huna akili .. No wonder ulisoma SAUT
Huku unanikandia na Chuo Kikuu changu cha SAUT Mwanza na katika Ule Uzi wa Kumhusu Mchezaji Chama Umenisifia hadi Kukisifia pia na hiki Chuo Kikuu changu pendwa cha SAUT Mwanza.

Kweli nimeamini Watanzania tuna PhD's za Unafiki na kukianzishwa Tuzo za Wanafiki Tukuka ( Bora ) Ulimwenguni nina uhakika kila mwaka tutakuwa tunabeba tu.
 
Mkuu utanisamehe, ghadhabu imenipanda sana kusikia unamupngelea Rais bora wa vilabu vya soka vyote barani Afrika
 
Kwenye suala la uwanja hata simba nayo inatakiwa ijenge uwanja wake kwa ajili ya mechi za ndani na pia zile za Kimataifa.

Ni aibu kwa vilabu vyenye umri wa miaka zaidi ya 80 tangu vilipoanzishwa, lakini mpaka leo havina viwanja vyao vya kuchezea! Huku timu changa kama Azam, Namungo, Ihefu, Mtibwa, nk zikimiliki viwanja vyao.

Hivyo naunga mkono hoja; Injinia Hersi Saidi atimize hiyo ahadi yake, ili ajitofautishe na watangulizi wake, ambao nao waliwahi kutoa ahadi hewa, ikiwemo hiyo kujenga uwanja na hostel ya wachezaji.

Nje ya mada sasa;
hivi na ile michango ya wanasimba kipindi kile kwa ajili ya ujenzi wa uwanja, imeishia wapi!
 
Ha ha ha kumbe kweli Genta kakudaka.Punguza unafiki sasa.
Sio unafki mkuu

Hivi kweli unaweza kutoka mbele ya watu ukajinasibu umesoma SAUT?

Kwenye interviews kwenyewe hua wanaficha vyeti vyao..

SAUT ni chuo cha mapopoma tuu
 
Asante na Ubarikiwe Wewe Chuo Kikuu chako cha Werevu ulichokisoma hapa Tanzania au huko Ulaya kama siyo Marekani au Asia kabisa.
 
Back
Top Bottom