Manispaa; Ukijenga ghorofa ni sharti uwaezekee vyoo majilani zako usijekuwachungulia

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Kwa wale ambao hamjui;

Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea vyoo na Bafu majilani zako wanao kuzunguka kila upande wasiozidi wanne pande zote. Usipofanya hivo unaweza shitakiwa Kwa kosa la kuingilia faragha ya mtu (Uzalilishaji)
 
Nimeikuta hiyo mahali ndugu... Jamaa kununua mabati ya vyoo vyote vya majirani na kuezeka ni gharama zake na amefanya hivyo.
 
Kesho wacha nimuibukie jilani yangu snipe Bati zangu ...nimechoka kila siku kuoga hadi nisubili usiku
 
Kwa wale ambao hamjui;

Moja ya maelekezo ya ujenzi kutoka manispaa yanayopaswa kuzingatiwa unapojenga nyumba ya ghorofa mtaani kwako, (Sikumbuki kifungu namba ngapi) ni kuhakikisha unawaezekea vyoo na Bafu majilani zako wanao kuzunguka kila upande wasiozidi wanne pande zote. Usipofanya hivo unaweza shitakiwa Kwa kosa la kuingilia faragha ya mtu (Uzalilishaji)
kama ni kweli basi hizo sheria ziliandaliwa na watu masikini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom