Manispaa Arusha kitengo cha ardhi bado kuna shida

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
742
Imagine ofisi ina watu wanne sasa watatu wanapiga tu soga na kuchati. Hawawezi hata kupanga mafaili na kutafuta document za wateja.

Mtu anakuhudumia huku anaongea na simu na unajua na kusikia anachoongea hakihusiani na kazi yake kabisa wala familia.
UZURI NIMEWAMBIA LAKINI NA WILAYA ZINGINE WAJIFUNZE KUHESHIMU WATEJA.

Na tunasema tunakwenda nchi ya viwanda. Ebu jiulize Siku nzima masaa8 ya kazi x watu watatu na kisha wiki then mwaka na labda Kwa wilaya zote Tanzania inakuwaje?

Kwanini watu hawataki kumuunga mkono Rais kwa vitendo. Ujumbe huu umfikie WAZIRI WA ARDHI.
 
Back
Top Bottom