Manii nyeusi

Manii nyeusi sijawahi sikia, lakini inawezekana ana bleeding ya ndani kwa ndani. Kamata mkono, peleka kwa urologist na hakikisha hubandui kalio hapo
(food for thought. Kama katembea na mke wa mtu wamemloga aisee.lol)
 
Mmmh, ila hawa wenzetu hawa nina wasi wasi nao
Hivi wanawezaje kutenganisha mkojo na haya ya weusi???

Wasije kuwa wanatuchangania habari?? Ntaua mtu

Uzazi wa wanaume wanashughulikia urologists i mean wa njia ya mkojo. Gynae ni nanihii tuuuu, usimuharibie MziziMkavu pozi buree.
 
My God , kwanza mama unaonekana mwaminifu kwenye ndoa la sivyo ungekuwa unajua rangi ya manii kutokana na uzoefu ambao ungeupata kwa kuwa na men mbalimbali. Mumeo ni mgonjwa na amwona dokta haraka iwezekanavyo.
 
HUMU NDANI INABIDI TUWE SERIOUS MTU ANAPO POST KITU MUHIMUN KINCHOGUSA AFYA YA BINADAM SIO KILA WAKATI KUCHANGIA PUMBA TU.KAMA HUNA USHAURI WA KUTOA BORA UACHE TU KUCHANGIA:spy:
 
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse

Duuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! pole hii hali siyo ya kawaida
 
Manii nyeusi sijawahi sikia, lakini inawezekana ana bleeding ya ndani kwa ndani. Kamata mkono, peleka kwa urologist na hakikisha hubandui kalio hapo
(food for thought. Kama katembea na mke wa mtu wamemloga aisee.lol)

Oooh!!!
Kumbe Sio mapenzi.....awe polisi jamii sio?
 
Nendeni mkamuone daktari haraka sana, na wala msifanye huo mchezo kabla ya kumuona daktari, that is serious issue! hayo majamaa hayawezi kuwa mekundu wala meusi, mtaalam atawaeleza rangi halisi inakuweje!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom