Manicure na Pedicure kwa wanaume

Sitaki kabisa, kwani kwake hana dodoki hata la kuosha mikono kheee !!! mambo mengine ni kumalizia majumbani tuu, haswa mtoto wa kiume !!!
 
Jamani tuachane na UJIMA kwani kufanya usafi wa kucha ndo ushoga??if he can afford,let him do it hata ikiwezekana afanye na waxing mbona vitu vya kawaida tu siku hizi, he is always smart,ni mfano wa kuigwa.

Miss Annie, umesema vema kabisa. Hili ni swala la personal hygiene na grooming... ila inaelekea Tz haya mambo ndio yanaanza kueleweka. Mbona waume/wenzi/wapenzi twafanyia majumbani sana tu na siyo kitu cha ajabu.Labda cha ajabu ni kwa vile huyu kaifuata huduma mbali kwenye salons. Pia siyo wengi wenye kuwa na vifaa (foot spas, mani/pedi sets and other accessories) majumbani ndio maana inakuwa bora kwenda kwenye salon.
Tuwe open-minded. Miaka ya nyuma wanaume hawakujali sana kuhusu mambo ya utanashati.Hata kupaka cologne/perfum ilikuwa ishu..siku hizi nani asiyejua kutumia deodorants au colognes etc? Siku hizi imekuwa kero kuwasindikiza wenzetu kunyoa maana kwanza hutumia masaa mengi na huenda karibia kila wiki... all this is part of grooming.Mtu awe huru bila kuogopa lables.
 
Pengine huko alikotoka huyu superstar wetu alikuwa nayo historia ya ushoga, itakuwaje uwe na mambo ya kishoga kama wewe sio shoga?
 
Hao wanamna hyo wanaitwa matap tap! ila cyo kwamba ni shoga jamani biff binafsi kwenye blog cyo mzuka
 
well .....ndo utandawazi wenyewe. Wenyewe wanaita Metrosexual man! kwa upande wangu nnaona ovyo tu!


Imagine ndio shem kakaa namna hiyo saloon dada Gaijin! kwetu uheheni wanasema hapo ka_JIDEULA yaani IDEHWE! teh teh teh
 
Jamani tuachane na UJIMA kwani kufanya usafi wa kucha ndo ushoga??if he can afford,let him do it hata ikiwezekana afanye na waxing mbona vitu vya kawaida tu siku hizi, he is always smart,ni mfano wa kuigwa.

Nadhani point ya watu hapa ni jinsi alivyoiweka kwenye blog yake private matter kama hii.Binafsi nadhani haya ni mambo binafsi yasingefaa kuwekwa kwenye blogs au web pages zozote.Ukiwa celebrity sio lazima kila kitu ukionyeshe watu waone.I don't have any ill-feeling with the dude BUT at times mtu inabidi kuwa na privacy ili kuepuka mazungumzo machafu kutoka kwa watu kuwa "...ushoga... n.k".But if that is what he wants,let him buy his fame.
 
Back
Top Bottom