Manicure na Pedicure kwa wanaume

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Kwa sasa ni kawaida sana kwa vijana wengi hasa masupa staa kwenda kwenye saluni na kupatiwa huduma mbalimbali ambazo ni kwa ajili ya kina dada zaidi kama hizi za pedicure na manicure, kukatwa nyusi n.k hivi huu ndio utandawazi wenyewe ama vipi?

Mcheki kanumba hapa akipata miongoni mwa huduma 'hizo'...


THE GREAT AKIFANYIWA MANICURE



USAFI WA MIKONO UKIENDELEA



THE GREAT AKIFANYIWA PEDICURE
 
well .....ndo utandawazi wenyewe. Wenyewe wanaita Metrosexual man! kwa upande wangu nnaona ovyo tu!
 
Kweli Masaki!!, kwanza mwenye kumsugua mikono naona kama mikono ya jidume, mikono ina mayoya.
Unaskiaje Mume mwenzako akikugusagusa??, Balaa hii!!!!!

Ni ushamba, na dalili za ushoga hizo!
 
Yeah they are the new breed ya metrosexual men, ni ushoga tu, kama mwanaume unataka kujiremba kafanye hiyo upuuzi nyumbani kwako, si poa kabisa kwenda saloon kunyoa nywele tu alafu watu humo wananza kukuliza kama ungependa kufanyiwa scrubbing n.k :angry:
 
huyu Kanumba ni mshamba sana, haya mambo watu wanafanya private, yeye ana show off na anaweka katika blog yake
 
Jamani tuachane na UJIMA kwani kufanya usafi wa kucha ndo ushoga??if he can afford,let him do it hata ikiwezekana afanye na waxing mbona vitu vya kawaida tu siku hizi, he is always smart,ni mfano wa kuigwa.
 
...Tena kajamaa mpaka jicho kalembua kuna usalama kweli hapo??

Haijatulia kwa kweli, najaribu kupata picha kuwa na hilo taulo alikuwa pia anafanyiwa massage na hilo jamaa lenye mkono wenye manyoa kama nini sijui.,mmh kazi kweli kweli.
 
Kuna jamaa yangu aliwahi kunipa dokezo kuwa maselebu wengi wa bongo ni mambo fulani sasa naanza kuamini tartiiibu
 
We unafkir kanumba ukimuomba mchezo atakataa?! mtoto jicho jicho!
hahahaha umemrahishia MATAKA maana alikuwa anamtafuta sana dogo lakini aliposikia anabeba vyuma akasita kwanza, hivyo mshkaji atatokewa na gia ya kupandia mlima hehehe
...Tena kajamaa mpaka jicho kalembua kuna usalama kweli hapo??
DUh mtake radhi kanumba, je jicho hilo si la kuzaliwa nalo?
Ni ushamba, na dalili za ushoga hizo!
naweza kukuunga mkono maana nasikia ktk usupa staa wa bongo ni pamoja na kuliwa KIBOGA.
lakini mtu unafanyiwa pedicure + manicure na dume mwenzako tena saluni na picha juu. je huko nyuma ya pazia kumefanyika nini? maana jamaa ameonekana kachoka haswa
 
Wanadamu hamtabiriki.Halfu asipofanya hayo mtamsema ni selebulite gani haogi afu mchafu.Kuweni fair jamni ni haki yake as long as havunji sheria.
 
Mimi sioni kama kuna ni tatizo,kwani mashoga tu ndo wanaofanya hivyo?Hayo ni maneno ya mkosaji.if you dont feel kufanya kama anavyofanya Kanumba acha.Lakini hiyo ni moja ya usafi
 
Back
Top Bottom