Mangungu afunguka Simba watacheza jun 25

Mangungu afunguka Simba watacheza jun 25

Mtu smart kichwani kwa sasa huwezi kuta anahangaishwa na hizi ngonjera za simba na yanga.
Mimi ni Simba ila hili la dabi limekaa kisiasa sana mpaka ile ladha yake asilia imeisha
Si ajabu hata bingwa ashaandaliwa
 
Yanga waliapa kamwe hawatocheza mechi ya ligi kuu na Simba msimu huu, Wacha tuone
 
Naona 5/11 inaanza kujirudia. Makolo wajiandae sana kisaikolojia kwani mchezo huo utawapa mfadhaiko mkubwa sana wa moyo. Wanakumbana na Yanga yenye hasira na iliyopania kweli kweli. Chama atafunga bao moja, Mzize Bao mbili, Prince bao mbili, na Max bao mbili. Zote zifaungwa kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom