Mangungu afunguka Simba watacheza jun 25

Mangungu afunguka Simba watacheza jun 25

Naona 5/11 inaanza kujirudia. Makolo wajiandae sana kisaikolojia kwani mchezo huo utawapa mfadhaiko mkubwa sana wa moyo. Wanakumbana na Yanga yenye hasira na iliyopania kweli kweli. Chama atafunga bao moja, Mzize Bao mbili, Prince bao mbili, na Max bao mbili. Zote zifaungwa kipindi cha pili.
Wajiandae tu mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Yanga, ila ukweli ni kuwa, soka la Bongo sasa ni upuuzi mtupu.
1749916429228.png
 
MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA KUCHEZA DERBY KWA MARA YA KWANZA..!!
.
.sisi viongozi hatuna lolote la kuongezea kile walichosema mamlaka. Ratiba ya kwanza walitoka wao, ya pili wao. Sisi kazi yetu ni kucheza mpira na tutacheza
.
View attachment 3368695

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Upuuzi wa haya yote ulianzia tarehe 8 Machi, mlipokimbia mechi kutokana tu na sababu zisizo na mashiko.
 
Back
Top Bottom