Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina Mangula.
Nawasilisha kwa mjadala watu.
Nampa miezi sita tu ya kuropoka na baada ya hapo utasikia ukimya kama kawaida yao maana nguvu ya soda tunaijua ipo CCM.
We subiri utaona atakavyoumizwa huyu jamaa,anacheza na mchekea mafisadi JK!Mliochukua hela za Epa rudisheni na nawapa muda baada ya hapo tusilaumiane,waliorudisha hawakushitakiwa na ambao walishindwa kurudisha walishitakiwa,huyu ndiye Mwenyekiti wake ambaye yupo tayari kufumbia macho mambo kama haya,Mangula huiwezi ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya.Mafisadi wnamtumia mzee wa watu kama KONDOMU baada ya kubwabwaja wataitupa tu
Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina Mangula.
Nawasilisha kwa mjadala watu.
Mwacheni mzee Mangula atengeneze jina ndani ya ccm. Alikuwa amepotezwa muda mrefu na kila alipojaribu kurudi kundini kupitia mlango wa uani wenyewe wakaufunga. Sasa maadam wamemrudisha kundini na kumtoa shambani ni lazima ajaribu kuwafurahisha ili angalau atoke huko mashambani, kilimo ni kigumu jamani.
Hana ubavu huo keshazeeka meno yenyewe ya kung'olewa mabwepande hana akajifie huko