Mangula: Tuliwang'oa Manji na Thomas Nyimbo kwa rushwa

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina Mangula.

Nawasilisha kwa mjadala watu.
 
Nampa miezi sita tu ya kuropoka na baada ya hapo utasikia ukimya kama kawaida yao maana nguvu ya soda tunaijua ipo CCM.
 
Tusubiri utekelezaji,maana nona majigambo na tambo zimekuwa nyingi!
 
Hili jiwe walililolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni leo,hajui kama wenzio wanataka wampake kinyesi walingane!!!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina Mangula.

Nawasilisha kwa mjadala watu.

Ni % ngapi ya watoa rushwa ndani ya ccm?
 
Mafisadi wnamtumia mzee wa watu kama KONDOMU baada ya kubwabwaja wataitupa tu
We subiri utaona atakavyoumizwa huyu jamaa,anacheza na mchekea mafisadi JK!Mliochukua hela za Epa rudisheni na nawapa muda baada ya hapo tusilaumiane,waliorudisha hawakushitakiwa na ambao walishindwa kurudisha walishitakiwa,huyu ndiye Mwenyekiti wake ambaye yupo tayari kufumbia macho mambo kama haya,Mangula huiwezi ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya.
 
Kwa kweli huyu babu Mangula anachekesha sana. Yeye menyewe walishamkung'uta kwa rushwa kwenye uchaguzi juzi kati hapa mpaka akaanza kulalama ovyo ovyo. Halafu eti leo nae kaota mapembe. Ngoja tuone, labda kweli kuna kitu. Ila mimi kuamini ni mpaka nione.
 
Mwacheni mzee Mangula atengeneze jina ndani ya ccm. Alikuwa amepotezwa muda mrefu na kila alipojaribu kurudi kundini kupitia mlango wa uani wenyewe wakaufunga. Sasa maadam wamemrudisha kundini na kumtoa shambani ni lazima ajaribu kuwafurahisha ili angalau atoke huko mashambani, kilimo ni kigumu jamani.
 
Baada ya mashambulizi kutoka kwa Dk.Kitila Mkumbo Kama alivyoandika wiki Jana katika makala yake Raia Mwema, Mangula katika Gazeti la Raia Mwema Leo anatoa mfano ya kuwa kuwang'oa watoa rushwa za uchaguzi akimtaja Manj na Thomas Nyimbo aliyewahi kwenda CHADEMA baada ya kukatwa jina CCM na akina Mangula.

Nawasilisha kwa mjadala watu.

Ni sawa na kumwambia mtu anayekubishia kuwa huwezi kupanda mlima Kilimanjaro, kwamba 'mbona nilishapanda kichuguu Msanga huko'!
 
amtoe kikwete aliingia madarakani kwa kuonga kanga.kama Nyimbo na Manji walitolewa kwa Rushwa.JE walifunguliwa mashitaka?
 
Mwacheni mzee Mangula atengeneze jina ndani ya ccm. Alikuwa amepotezwa muda mrefu na kila alipojaribu kurudi kundini kupitia mlango wa uani wenyewe wakaufunga. Sasa maadam wamemrudisha kundini na kumtoa shambani ni lazima ajaribu kuwafurahisha ili angalau atoke huko mashambani, kilimo ni kigumu jamani.

Hivi mzee Mangula hajaona tofauti ya siasa ya enzi ya Mkapa na ya sasa? Mambo yakimgeuka uso atauweka wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom