Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Narudia tena...tunamtaka ivo ivo na usheitwan wake.
Kama nakukera saga chupa unywe.
Watu type yangu tushachoshwa na utawala wa kifalme wa CCM.Alafu tupo wengi sana.
teh teh teh you are very funny....Mi ninywe sumu sababu ya mtu wa jamii forums aliyejificha nyuma ya screen na keyboard?Basi Itakuwa ajabu la nane la dunia..You make me laugh with your conviction....Hebu rudia tenaaa...Ndoto yako ya matumaini nimeipenda...Ningekuwa nina uwezo ningekupa like hamsini ila JF like moja to kwa mtu mmoja kwa comment moja. Lakini kibaya ni kwamba wewe ni "too innocent" kuujua ukwelii..teh teh teh. Na ni vizuri kutoujua ukweli sababu unakuzuia wewe kuzurika na mambo mengii. Na kawaida ya watu innocent huwa wanadhani moja jumlisha moja jawabu lake mbili..Laiti ungejua tatu pia inaweza ikawa jawabuu ungepata stress tu bure.." Umenisomaaaa?????? Ovaaa
 
Nilikuwa namfolo huyu dada na nilimuona ana misimamo na kabla ya kampeni alikuwa akiikosoa sana serikali ya ccm kwa ufisadi ila tangu kampeni zimeanza ni yeye na lowasa tuu, tena anaandika message ya kuomba kutumiwa habari mbaya za lowasa ili apost kwenye page yake na blog yake.

Nikamdharau mara moja maana niliona ni njaa imemshika, na siku zote njaa haina baunsa.

Ivi ufisadi Tanzania ni wa richmond tu? What about esrow ya juzi, epa, meremeta , kagoda, pembe za ndovu, kiwira n.k mbona hatukuoni ukifungua mdomo wako juu ya hizi issue na badala yake una dili na afyabya lowasa?

Njaa humpa mtu upofu jamani.

Ukimaliza kumnyonga, usimnyime na haki yake, sawa? Mange na utaahira wake wote anajipambanua kuchukia unyonyaji wa aina yeyote. Kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua harakati zake kuhusu wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya. Huyu manzi si kipofu wala zumbukuku wa kufuata chama bali huwachambua na kuwapa makavu hata hao viongozi wa CCM ambao wanapiga dili chafu.

Mara ngapi anamsakama February? Hujamsikia akimpigia kampeni kada wa ACT anayegombea Kinondoni badala ya Idd Azzan mwanaCCM mwenzake? Ushajiuliza ni kwanini?

Hakuanza leo na EL, alianza muda mrefu kumcriticize tangu hata hakuhamia UKAWA (Na pengine wakati huo ulikuwa unachekelea kweli)..

Tuacheni unafiki. Tupende vitu kwa mashiko.
 
ila Mange anajua kuelezea mambo akiamua

sijui uchaguzi ukiisha ataanzia nani au nani maana lazima habari za kuumiza watu kwake ziendelee

kwa uchaguzi hapo uamuzi ni wa wananchi mwisho wa siku

I guess angemsema mgombea wa ccm, nao wangemtukana pia na kumpa maneno yao.
 
No more comment, you are blinded. May be you're too sympathetic, I can not judge u dear! But remember he's asking for the biggest office, so we must question him!! The right to be voted goes hand in hand with being questioned of your deeds!

Tanzanians do not read, do not do follow-ups, do not connect dots, the worst of it all, DO NOT TAKE PROPER ACTIONS BECAUSE THEY CAN'T MAKE OBLIGATORY DECISIONS!

What I see is some desperate souls trying to hold a straw to escape from drowning!

Of all people, Lowassa? Really?!!!! You guys go consult a psychiatrist!!!!

Naona wewe ndiye yule anayemkimbiza chizi aliyekuibia nguo zako ukiwa uchi kwasasa. Umeshafahamu watanzania tunamatatizo ya akili na tumechagua mtu wa hovyo,unahangaika nasi ili iweje?!! Ushachelewa ndege ndugu,wewe njoo na basi lako tukutane mbele ya safari. Wote ni washenzi kama ulivyosema awali,sasa tusichague hata katika hao washenzi?!!
 
Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA.

Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know people change, every saint got a past and every sinner has a future, only God can judge us all coz anaona zaidi ya macho ya binadamu, he looks at the heart!!

Kama Mungu ameamua Lowassa awe rais wa Tz na atakuwa tu, kama wewe na ndgu zako CCM mngekuwa na ushahidi mngemshtaki since then sio mnatoa povu leo, no prove no right to say, watch your moves mwanamke.

Jinsi unafatilia ya UKAWA surely u must be our Biggest Fan, ila unafki unakusumbua. Halafu uwe na adabu, Lowassa ni kama Baba yako kumdhalilisha hivyo utalaaniwa zaidi ya hapo.

Mange u don't look good when u make others look bad,coz maneno yako toward Him they reflect urself,dats y ulishindwa na ubunge, jiulize why ulishindwa! You are not good enough for our country. Halafu ni njaa tu zinakusumbua ubunge ungekuwa wa kujitolea bila pesaaa ungetoka USA kuja kugombea!

Shame on u, mxieeeww..

umenena,
this girl is sooo stupid, sijawahi kuona mtu asiyejimbua kama mange, kwanza the way she potray a message towards something anadhihirisha kwamba aidha ana chuki juu ya mtu au ana personal interest, she never focus into reality, huyu binti amejaa chuki sijawahi kuona, anajiona yeye ndio perfect in everything, kutwa kucha kujadili personal issues za watu,ndoa za watu,maisha binafsi ya watu,rafiki zake, kiukweli anajiaibisha,

ana image mbaya sana mbele za watu kutokana na aina yake ya uandishi na chuki za mitandaoni,wakati mwingine huwa nadhani ni mtu ambae hana shughuli za kufanya, how comes mtu unapata muda wa kujadili watu?

she really needs to change, ndoa yake ipo mashakani kwa sababu ya tabia zake
 
Naona wewe ndiye yule anayemkimbiza chizi aliyekuibia nguo zako ukiwa uchi kwasasa. Umeshafahamu watanzania tunamatatizo ya akili na tumechagua mtu wa hovyo,unahangaika nasi ili iweje?!! Ushachelewa ndege ndugu,wewe njoo na basi lako tukutane mbele ya safari. Wote ni washenzi kama ulivyosema awali,sasa tusichague hata katika hao washenzi?!!

Another lost soul! Mahaba niue. Kwahiyo huyo mzee ndio afadhali? Kwa kazi ipi aliyowahi ifanya akiwa W/Mkuu zaidi ya kushirikiana na wenzie kuwaumiza? Tatizo vijana hamfuatilii mambo, mnasombwa na mihemuko tu!

Angalia marafiki/watu wa karibu ya huyo mnayemwona afadhali kisha tafakari!
Waneni hawakukosea pale waliposema "Show me your friends and I'll tell you who you are". Gwajima? Rost? Kingu?

Duh! Haya. Kila la heri!!!!
 
Naona wewe ndiye yule anayemkimbiza chizi aliyekuibia nguo zako ukiwa uchi kwasasa. Umeshafahamu watanzania tunamatatizo ya akili na tumechagua mtu wa hovyo,unahangaika nasi ili iweje?!! Ushachelewa ndege ndugu,wewe njoo na basi lako tukutane mbele ya safari. Wote ni washenzi kama ulivyosema awali,sasa tusichague hata katika hao washenzi?!!

nashanga, huyo kabaki kusema watanzania wajinga, sasa kama yeye ni mchina ya tanzania ynamuhusu nini atuache ahangaike na ya uchine,mwanaharamu huyo hajitambui, nadhani atakua ni mange huyo
 
nashanga, huyo kabaki kusema watanzania wajinga, sasa kama yeye ni mchina ya tanzania ynamuhusu nini atuache ahangaike na ya uchine,mwanaharamu huyo hajitambui, nadhani atakua ni mange huyo

Yamekuwa hayo mdada? Na NameCalling juu?

Mods plzzzz.. do the needful!
 
hivi blog yake sasa mbona siipati kuna tatizo gani? nijionee kwa macho.
 
mbona ya baba yake kuliwa kiboga mpaka kujiua hasemi au anafikri watu hawajui. Au mpaka iwekwe clip humu jamvini watu waangalie ndiyo atafunga mdomo.
 
teh teh teh you are very funny....Mi ninywe sumu sababu ya mtu wa jamii forums aliyejificha nyuma ya screen na keyboard?Basi Itakuwa ajabu la nane la dunia..You make me laugh with your conviction....Hebu rudia tenaaa...Ndoto yako ya matumaini nimeipenda...Ningekuwa nina uwezo ningekupa like hamsini ila JF like moja to kwa mtu mmoja kwa comment moja. Lakini kibaya ni kwamba wewe ni "too innocent" kuujua ukwelii..teh teh teh. Na ni vizuri kutoujua ukweli sababu unakuzuia wewe kuzurika na mambo mengii. Na kawaida ya watu innocent huwa wanadhani moja jumlisha moja jawabu lake mbili..Laiti ungejua tatu pia inaweza ikawa jawabuu ungepata stress tu bure.." Umenisomaaaa?????? Ovaaa

Unajifanya mtu wa system kuyajua mengi!
Hainisaidii kwa sasa.. dumb or Not, innocent or Not.
Nitamchagua Lowassa.
Narudia tena mimi mtu wa JF nipo nyuma ya keyboard, nayajua machache, ni Mtanzania nimeichoka CCM.
Saga chupa shushia na whiskey.
 
mbona ya baba yake kuliwa kiboga mpaka kujiua hasemi au anafikri watu hawajui. Au mpaka iwekwe clip humu jamvini watu waangalie ndiyo atafunga mdomo.

tatizo nyani huwa haoni kundule, mange anapenda kuongea ya watu wakati ya kwake kibao tunayajua, ndoa yenyewe huko ishamshinda,mzungu kachoka tabia zake,mange anafanya kulazimisha ndoa,watu tunajua ila tumenyamaza, sasa yeye kila kukicha ni kuattack watu,huyu akili zake nadhani zipo kwenye chupi au yupo na depression inayomfanya awe na hizo tabia za kijinga
 
Madam, nijuze tu, alichobadilika Mheshimiwa ni nini? Au kupanda daladala, kunywa chai Tandale na kujaza nyomi ndio alama za kubadilika kwake?

Hivi hujui au hujafuatilia umafia wa rasilimali uliofanywa na viongozi wa nchi hii akiwemo huyo unayemtetea? Unajua kisa cha kupeleka maji maeneo yenye uchimbaji wa dhahabu kwa wingi kuliko jimboni kwae kipindi alipokuwa waziri wa maji? Unajua madeal yake na yule Mzee asiyemwamini hata Mungu aliyemuumba? Unajua 'genge' lake vizuri? Unajua kwanini anaumwa ugonjwa usiofahamika vizuri chanzo chake? Unajua kwanini pamoja na kuonekana yuko taabani lakin bado anakazania kupambana? Is it for love?

Shida yangu ni kukuuliza, unamjua kweli unayemtetea? Au umevutiwa na kiitikio cha Mabadiliko?!

Watanzania ni watu wa ajabu mno. Hakika tunastahili tuzo! Yaani leo hii unamtetea mtu anayesababisha unalipa umeme kwa gharama za juu na usio na uhakika kwa maslahi yake na watu wake (whoever concerned, hata km na Mkulu yumo) kupitia madili waliyoshirikiana na hao maswahiba wake enzi hizo?!

Hivi unachokiona kwa ndugu huyu ni nia ya dhati kweli ya kuleta hayo mabadiliko yanayoimbwa au ni kuchukua power kulinda maslahi yake na kuwakomesha wakina fulani? You really need some church my sister!!!

Sisapoti anachokifanya Mange, lakini come ooon, have some brains basi, coz huyo unayemsema (Mange) ni kama kichaa aliyekuibia nguo halafu nawe unamkimbiza ukiwa uchi. Hawa jamaa sio wa kuwatetea. Wote ni wash****!

Bora ungemkemea tu Mange kudhihaki afya ya mheshimiwa, lakini usiseme huyo jamaa ame'change, HELL!

WAKE UP TZ!!!

Ndo tushaamua kumsamehe na tuko tayar kuendelea kulala mpk oct25 tutakapoamka na kumpa kura za kishindo
 
Back
Top Bottom