Yaani wewe kila mtu unagombana nae kama kichaa vile😂Wewe unahisi join date ndo kigezo?
Au unongea kujifurahisha?
Kumbe Anaishi Los Angeles?Safi sana Mange!
You are a rider for real. You are also very necessary especially in these times.
And I think she has a real good shot at winning this lawsuit against Meta.
Hii publicity si ndogo.
LA influencer goes scorched earth on Mark Zuckerberg’s Meta after it caved to draconian African regime: suit
Activist Mange Kimambisays she became Tanzania’s target after using Instagram and WhatsApp to expose alleged killings and mobilize peaceful protests following last year’s disputed presidentia…nypost.com
Kila la kheriAcha kufanya assumptions.
Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.
Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
Umeona alicho jibu? Au na wewe uache cheka kama chizi?Yaani wewe kila mtu unagombana nae kama kichaa vile😂
corporate kwa kiswahili maana yake nini ?Unfortunately, that’s the language corporate America understands.
Ndio alimtoa Faraja Nyalandu, Nancy Sumari na Wema Sepetu..Mie nimemfahamu muda ,alikuaga na hy project ya walimbwende,Yuko very smart na mikakati anaijua,Kipi kianze,Kipi kisubiri muda gani na kiweje
Wanakuonea huruma! Siku utapata mbabe wakoUmeona alicho jibu? Au na wewe uache cheka kama chizi?
mbona kuna vichaa wengine wako poa sana, wala hawagombani hovyo na kila mtu.Yaani wewe kila mtu unagombana nae kama kichaa vile😂
Mimi ndo mbabe, ni wao wanatafuta ujiko kupitia mimi.Wanakuonea huruma! Siku utapata mbabe wako
Huyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimumbona kuna vichaa wengine wako poa sana, wala hawagombani hovyo na kila mtu.
Nikikumbuka uturn enzi hizo hatari.Ndio alimtoa Faraja Nyalandu, Nancy Sumari na Wema Sepetu..
Ameitawala internet toka enzi za blog hadi social media. Na kila anachokifanya kinakuwa successful
Hata developers wa Tanzania walishangaa alivyopiga pesa ndefu kwenye app. Kitu ambacho wao pamoja na grants ndefu hawajawahi fanya
She is smart, strategic, exceptionally consistent na ana strong intuition. Ukiambiwa ni mtoto wa ex-officer wa usalama wa taifa hukatai. She is GIFTED 📍
Wewe ni msengelema tu, Mnatafuta kila mbinu lakini mnaishia kula za uso tu ndanda head nyieHuyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimu
That lady hata humu alikuwepo ilikuwa Moto wa kuotea mbali Nyuzi zake Views 2M per day🤣🤣Ndio alimtoa Faraja Nyalandu, Nancy Sumari na Wema Sepetu..
Ameitawala internet toka enzi za blog hadi social media. Na kila anachokifanya kinakuwa successful
Hata developers wa Tanzania walishangaa alivyopiga pesa ndefu kwenye app. Kitu ambacho wao pamoja na grants ndefu hawajawahi fanya
She is smart, strategic, exceptionally consistent na ana strong intuition. Ukiambiwa ni mtoto wa ex-officer wa usalama wa taifa hukatai. She is GIFTED 📍
huo mstari ndio ulio haribu wasilisho lako, otherwise una hoja.Yaani unaambia mwanamke ni rider alaf umeweka makebo yako kwa kochi?
tumkumbuke kwenye maombi.Huyu basi kavuka kwenye ukichaa yupo uwendawazimu
Hakuna Nime insist tuhuo mstari ndio ulio haribu wasilisho lako, otherwise una hoja.
The way your point was pressed came across a bit too strong and caused some unnecessary tension. A more polished approach would have prevented such misunderstandingHakuna Nime insist tu