Enheee..... Mange ni changudoa wa wazungu, sawa kabisa.
Sasa, kwa nini changudoa wa wazungu amishindeni ushawishi kwa ummaaaaaaa ?????????
Na, Attorney General Johari kasemaaaa.... Mange akisema tunafanya, watu wanafanya kweli! Yani, Mange Kimambi has her finger on the pulse of the nation. Kama muuguzi anavyoweka kidole kwenye koo kucheki kama una mapigo au umeshazima. Mange Kimambi anajua moyo ya wa Taifa unavyodunda kuliko Amiri Jeshi Mkuu, kama tulivyoshuhudia kwenye spichi ya nywi nywi nywinywi. Na ana ushawishi.
Sasa, kaeni na Mange mzungumze.