Mange amshambulia Lulu

Naona unatangaza biashara yako hapa shost jimyy a.k.a aunt jimmy
Unawaza tigo tuu si ukaishi mombasa kama unaona tz unabanwa, starehe ni yako biashara pia ni yako, tutakununulia nepi ukianza kutoa ki. N. Y. E. S. I
 
the funny part about psychology, ukishajua kuudanganya moyo utasogeza miaka kadhaa ya kuishi of which mange thinks anasogeza ya kwake kwa ku bully watu. the problem is, people think that mange is their hero na hivi nnavoongea wapo watu watapanic kwasbb hawajui ukweli. wengi mmemjua mange 2015 kuja 2017 mostly alipoanza kukamatana na kina mukubwa.tuulizeni tunaomjua since 2004 and back, mange is consoling her heart after a irreparable mental breakdown caused by her divorce. she was going through alot and the only surviving technique she could use ni ku attack watu mitandaoni. i dont even blame her now, mange amemaliza kugombana na kila mtu anaefahamiana nae personally, mnaompa moyo kwenye social media mnataka aendelee kuwafurahisha tu but in real sense you need to understand her situation. 1.vita yake na mkuu wa mkoa fulani eti cause ni kumtaja wema haya vita ikaendaaa, akaanza kui attack serikali, i`m not picking sides ila mange wanted the hero crown to heal her wounds after people laughing at her. 3. amenyima watu maarufu uhuru wa kuishi maisha yao as in ukifanya hivi mange asipopenda action zako utakula za uso and ur cv is deteriorated before the society. mange needs someone to help her psychologically, she is not the superhuman she pretends to be on social media, she cries herself to sleep she is going through alot and she expects every one to take life that way. najua mange you`ll see this tunakuombea upone haraka, mehn you blocked my instagram account after trying to help you smh
Natamani apite hapa asome ushauri wako. Labda itamsaidia.
 
Iyo case itawapa watu mafundisho mengi mojawapo usidharau case hata kama ndogo vipi...ndo mana wezi wa kuku wengi ndo wanaoongoza kwa kufungwa maana wana dharau sana case wakiwa mahakamani..

Huyo lulu aliidharau sana iyo case hakua serious ktk kutoa ushahidi na kujitetea....ila namuombea mungu asipigwe mvua nyingi japo inavoonekana kwa hali hii mvua ni imminent....

Pili iyo case imemuExpose peter kibatala sana...kua sio Wakili Mzuri kama anavyosifiwa... kwa navoielewa fani ya sheria..na kwa sifa alizokua anapewa Pita Kibatala...na kwa jinsi hiyo case ilivokua imekaa (imebase sana kweny circumstantial evidence) na kwa jinsi ma state attoneys walivyo vilaza....

Sikutegemea kama Pita Kibatala angeshindwa kuimaliza iyo case kwenye 'Half Time' yanii at the end of the prosecution's case!

Hawa wanajiita mawakili maarufu ukiwa na kesi yako siriazi usimpe wana janja janja nyingi...niliwahi kushuhudia kesi moja ya Mabere Marando pale Kisutu... haha yani janja janja nyingi sana ila ni mtupu wa legal knowledge!
Sawa
Nitakutafuta mkuu ama ww sio wa fani hii?
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom