Mange amshambulia Lulu

BY @mangekimambi_ - Nimepitia kidogo sheria ya matunzo ya mtoto ya Tanzania. It seems sheria hiyo ipo sawa na sheria ya Marekani . Wanaangalia kipato cha wazazi na matunzo yanatolewa kulingana na kipato cha mzazi. I think Tatizo lililoko TZ ni kwamba wanawake wengi huwa wanashindwa kuprove mahakamani kipato cha mwanaume.
.
Hamisa don’t take it for granted kuwa umezaaa na Diamond. Kama utashindwa kupeleka ushahidi wa kipato chake unaweza pewa matunzo ya laki kwa mwezi... So please be very careful.
.
.
Kwanza ujue Diamond hawezi kusema kipato chake cha kweli mahakamani, you have to force him. Ila mwache kwanza aidanganye mahakama kuhusu kipato chake ndo wewe utoe ushahidi.... Je unapataje ushahidi? Ushahidi wa kwanza ni uombe mahakama ikupe order ya bank account zake zoooooote. Bank zooote unazozijua Dai anaweka pesa zake wapelekee order ya mahakama kuwa wawakilishe mahakamani statement za Diamond from 1Jan 2015 mpaka sasa hivi.
.
Kampuni zooote zilizoratibu show zake the last one year wapelekee order ya mahakamani watoe contract . Pamoja na kampuni zilizompa matangazo,kwa mfano Danube, Vodacom na wale Diamond Karanga. Wooote wachape barua za mahakamani wawasilishe mikataba. .
.
Then peleka order ya mahakama kwa kampuni ya WCB na ile ya website wanayouza nyimbo za wasaniii ambayo yuko share ya Kusaga. Pamoja na Chibu Perfume ambazo pia yuko share na kusaga. Mchape barua kusaga na hizo kampuni waonyeshe ownership na income.
.
.
Ukitoka hapo wachape barua TRA kutoa record ya malipo yake ya TRA
.
.
Ila cha kwanza ni statement za benki pesa zake im sure haziwekagi chini ya uvungu.
.
.
You need a good family lawyer sio lawyer ilimradi lawyer jina. Personally I recommend Mama Tenga, Huyu mama wa kipare hana mchezooooooo Diamond atatoa matunzo ya maana. Babangu hakuacha will ila Mama Tenga alinipigania nikapata haki yangu.
.
.
Cha mwisho kabisa, please usisusie matunzo, ukisusa watafanya sherehe, ndio wanachotaka ufanye. fight for your son. Huyo Bi sandra hata aposti nini mdharau mtu mzima hovyo yule. Kama ulifight mpaka Dai akamkubali mtoto hadharani basi fight mpaka mtoto apewe matunzo yanayoendana na kipato cha babake.
 
Mange ni msenge tu anataka kila mtu amwendeshe kitu ambacho hakiwez kutokea .....hzo kk zake za vyama ndo anajiona anaweza kias kwamba kila mtu anaweza akamdiss ......no.no.no
 
We nawe wivu umekujaa kwa Mange ,alichoongea kuhusu Lulu unakubaliana nae au hukubaliani ? Why?
mihemko itawaua kabla ya siku zenu maana mada hamzijui mnaparamia. uwezo wa kufungua account jf usijione ndo una uwezo wa kupembua mambo. muwe mnasoma sentensi mkazielewa. inaonesha akili zako ziko sehemu gani ya mwili yaani mna irrational ways of thinking! mi nimeongelea swala la mange na ushauri wa lulu alipokua anashauri wanasheria sijui wagale gale that was wrong sasa nyie mmelibeba juu juu hata hamjasoma deep. watanzania ignorance imeanza kuwa psychological disorder yani mtu mnaemtaka akikosolewa basi kila kiungo chenye nywele mwilini kinawasha. take a seat, clear yo dumb heads and learn how to read phrases.
 
BY @mangekimambi_ - Nimepitia kidogo sheria ya matunzo ya mtoto ya Tanzania. It seems sheria hiyo ipo sawa na sheria ya Marekani . Wanaangalia kipato cha wazazi na matunzo yanatolewa kulingana na kipato cha mzazi. I think Tatizo lililoko TZ ni kwamba wanawake wengi huwa wanashindwa kuprove mahakamani kipato cha mwanaume.
.
Hamisa don’t take it for granted kuwa umezaaa na Diamond. Kama utashindwa kupeleka ushahidi wa kipato chake unaweza pewa matunzo ya laki kwa mwezi... So please be very careful.
.
.
Kwanza ujue Diamond hawezi kusema kipato chake cha kweli mahakamani, you have to force him. Ila mwache kwanza aidanganye mahakama kuhusu kipato chake ndo wewe utoe ushahidi.... Je unapataje ushahidi? Ushahidi wa kwanza ni uombe mahakama ikupe order ya bank account zake zoooooote. Bank zooote unazozijua Dai anaweka pesa zake wapelekee order ya mahakama kuwa wawakilishe mahakamani statement za Diamond from 1Jan 2015 mpaka sasa hivi.
.
Kampuni zooote zilizoratibu show zake the last one year wapelekee order ya mahakamani watoe contract . Pamoja na kampuni zilizompa matangazo,kwa mfano Danube, Vodacom na wale Diamond Karanga. Wooote wachape barua za mahakamani wawasilishe mikataba. .
.
Then peleka order ya mahakama kwa kampuni ya WCB na ile ya website wanayouza nyimbo za wasaniii ambayo yuko share ya Kusaga. Pamoja na Chibu Perfume ambazo pia yuko share na kusaga. Mchape barua kusaga na hizo kampuni waonyeshe ownership na income.
.
.
Ukitoka hapo wachape barua TRA kutoa record ya malipo yake ya TRA
.
.
Ila cha kwanza ni statement za benki pesa zake im sure haziwekagi chini ya uvungu.
.
.
You need a good family lawyer sio lawyer ilimradi lawyer jina. Personally I recommend Mama Tenga, Huyu mama wa kipare hana mchezooooooo Diamond atatoa matunzo ya maana. Babangu hakuacha will ila Mama Tenga alinipigania nikapata haki yangu.
.
.
Cha mwisho kabisa, please usisusie matunzo, ukisusa watafanya sherehe, ndio wanachotaka ufanye. fight for your son. Huyo Bi sandra hata aposti nini mdharau mtu mzima hovyo yule. Kama ulifight mpaka Dai akamkubali mtoto hadharani basi fight mpaka mtoto apewe matunzo yanayoendana na kipato cha babake.
Numbisa bwana
 
hahhahaha hamisa akili hii ya kufatilia mambo aipate wapi, labda mange aje huku kumsaidia
 
Back
Top Bottom