tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,423
Wasichana wazuri hufeli form four then hukimbilia unesi
Nani kakudanganya manesI wote unao waona ni wakuunga unga.hujawahi sikia bachelor of nursing...kuchaguliwa bachelor of education unajiona super kumbe kilaza ...wakt mwenyewe una dv 3....idiot bora muende chuo...na muache dharau madogo